Post za kidato cha tano 2015/2016

Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
ouq. naona hayo maneno mnayotupiana ni matokeo ya post kuchelewa.hadi sasa mim binafs nimeamua kujizinga.ztoke zctoke INSHALAAAAA.kwani nimeshafungua kibanda cha kuuza ndiz mbichi na faida maximum 1500 per day! ko maisha ni murua in my side!wengine hunambia had bunge lifungwe! wengin hunambia process ishafanyika! all in all wanaboa wahusika
 
Nimepata habari kutoka kwa mtu wa nacte anasema post zinatoka mwezi wa 7 mwanzoni so it 'll be next week
 
ouq. naona hayo maneno mnayotupiana ni matokeo ya post kuchelewa.hadi sasa mim binafs nimeamua kujizinga.ztoke zctoke INSHALAAAAA.kwani nimeshafungua kibanda cha kuuza ndiz mbichi na faida maximum 1500 per day! ko maisha ni murua in my side!wengine hunambia had bunge lifungwe! wengin hunambia process ishafanyika! all in all wanaboa wahusika

Dah! Kweli wewe bado mtoto, maisha murua kwa kupata buku jero kwa siku😇
 
habar za uhakika kutoka tamisemi ni kwamba post znatoka rasmi tar1 mwez july cku ya jumatano,ko tusubir.
 
Nmekuwa nikisoma uongo wenu wengine mara post kesho wengine kesho kutwa,umekuwa ni upotoshaji jamii.xaxa kwa kuwaulumia nmeona niwape habr za uhakka kuusu hzo post "bro ang ni mhusika mmojawapo kati xa wale wanaousika kutoa hayo majina tamisemi, amesema kuwa kuchelewa kwa post ni kuwa posho lao wameichelewesha kuwapatia.ila amesema tarehe rasmi ni kati ya kesho na j5.acha kupotoshana, me nishaambiwa ya kwangu.
 
ouq. naona hayo maneno mnayotupiana ni matokeo ya post kuchelewa.hadi sasa mim binafs nimeamua kujizinga.ztoke zctoke INSHALAAAAA.kwani nimeshafungua kibanda cha kuuza ndiz mbichi na faida maximum 1500 per day! ko maisha ni murua in my side!wengine hunambia had bunge lifungwe! wengin hunambia process ishafanyika! all in all wanaboa wahusika

Bunge Lifungwe Kwan Uliambiwa Wabunge Ndo Wanapanga Post
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom