ubongo ya nicky
Member
- May 27, 2015
- 89
- 9
Post Kidato Cha Tano2015/16bofya hapa
Post Kidato Cha Tano2015/16bofya hapa
Dogo......jiangalie
Et nasikia post kesho
Et nasikia post kesho
Dogo......jiangalie
acha kuturusha roho ww umeweka google
kama umesikia si tufanyeje? unapo posti kitu tumia akali na mawazo chanya hatutaki vitu vya kusadikika kama vipi weka source ili tujue kuwa unauhakika na unachosema "acheni mawazo ya kuambiwa".
Nisaidien wakuu Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ya government ijapokuwa na GPA ya 1.3
man hao mdo wazury maana watatusumbua tusilale tukasome........sema dsgn kma mud inakat y kusbiri hzo post....mnaohusika wote namuomba mungu awaondolee hayo mapepo yenu ya uzembe amenAaaaaaaahaaaaaa
nimekumbuka kitu kimoja ndugu wadau hususah tunao subili post
huko tunakoenda kukabiliwa na wadudu aina ya KUNGUNI
Haswa kwa wale watakaopelekwa itg sec
sasa mimi kama mwanafunzi ninayetegemewa na ndugu zangu nije kuwasaidia...,na kutokana na hii serikali mbwa koko inayokatalia wanafunzi kwenda shule tutegemee makubwa huku mtaani,binafsi nishaanza kukombakomba vitu vya watu na ninaandaa maandamano mpaka wizara ya elimu na ni kuhusu uzembe unaojitokeza kwa watumishi wake......tumejipanga vijana kama 15 wenye afya nzuri tuu.mkuu, umejitahidi sana kutia mkwala
tatzo man ngachuro watanzania huwa tunawah xana ku blame ccm but ccm hawahusiki na utoaji wa post kitaa kunachoxha kwel lakn tucwalaum ccm