Post za kidato cha tano 2015/2016

Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
Lolote liwe. Post zitoke, zisitoke. Uchaguzi ufike, usifike. Ujinga wafanye, wasifanye. Tamisemi wajisahau wasijisahau mmmmmh! I don't care
i'm having gud-tym wth ma gf
:
.
:

huo ndo wimbo wangu mpya. Nimeu-release. Kama unabisha download hapa auronkajoro.blogspot.com
 
Nisaidien wakuu Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ya government ijapokuwa na GPA ya 1.3
 
Nisaidien wakuu Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ya government ijapokuwa na GPA ya 1.3 .
 
Nisaidien wakuu Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ya government ijapokuwa na GPA ya 1.3
 
Nisaidien wakuu Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ya government ijapokuwa na GPA ya 1.3

we jamaa kila siku unajibiwa swali hilo hilo lakini bado unauliza makusudi au?
 
Mwaka 2010 kipindi cha uchaguzi, wanachuo hususani wa vyuo vikuu hawakupiga kura... Sababu kuu ni kuwa wengi walijiandikisha wakiwa vyuoni lakini vyuo vikafungwa siku chache kabla ya uchaguzi na hivyo wengi kurudi majumbani na kukosa haki yao.. Ingawa wale 'wabishi' waliamua kurudi kupiga kura!

Kabla ya mwaka huu wanafunzi wa kidato cha tano walichaguliwa mapema mara nyingi mwezi wa 4 na waliripoti mwezi wa 7.. Sasa kuna zoezi la uandikishaji daftari la kudumu la wapiga kura na vijana wengi wamehamasika na kujitokeza kwa wingi kujiandikisha... JE Kuchelewa huku kwa post ni 'makusudically' vijana hawa wanaotarajia kwenda kidato cha tano wajiandikishe wakiwa majumbani ili uchaguzi uwakute wakiwa shuleni ili wasipige kura??
nawasilisha.
 
unasifa za kujiunga na kidato cha tano,unaakili sana za kufikiri, pia ili fani isipotee kasome HKL,
 
Nimepigiwa simu na ndugu na jamaa wakiniomba niwatazamie majina ya watoto waliochaguliwa kuingia kidato cha tano, je ni kweli majina hayo yametoka?? Na kama yametoka yanapatikana wapi au mtandao gani???
 
Nenda Kupatana.com, au website ya muhimbili hospitali, ukikosa huko angalia kwenye website ya mzee wa upako.
 
Ngoja tumalize kwanza kurudisha fomu who cares watoto wetu wanasoma ulaya.Anyway m cheki tarehe 9 July nitakuwa nimemaliza mchakato wangu wa U Rais Dodoma.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom