Post za kidato cha tano 2015/2016

Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
Wahusika kama mnaona mkizifungia post zetu mnashiba zitoeni mwakani........ Maana hamna namna nyingine sasa
 
kinacho nishangaza ni kwamba (mwezi wa 12-2) walikuwa wamefanya kazi kubwa ya kusaixha na kupanga matokeo kwa mda mfupi wakati wanafunzi ni wengi ("wanafunz 230,000...") lakni posti tu inachukua miezi 4....wakati wanafunzi ni wachache "wanafunzi kama 73,000 tu". Hiii kali kweli
 
.....mdogo wangu ananisumbua sana kila jioni nikirudi anauliza kama zimetoka, madogo wameshagonga tutions pale mchikichini kwa ticha mwaramsha na wana usongo wa kurudi kati. ila baraza mwaka huu dizain kama wanaremba sana
 
mbona kunamshikaji kanambia kuwa mwaramsha bado hajamaliza pindi mpaka j'2. xema tuvute subira kwenye posti.
 
Baraza teenaa??!! Wanahusikaje hapo??
 
mbona kunamshikaji kanambia kuwa mwaramsha bado hajamaliza pindi mpaka j'2. xema tuvute subira kwenye posti.

bado anaendelea ila wamebakiza vitu vichache sana, madogo wanatamani kurudi skonga.
 
.....mdogo wangu ananisumbua sana kila jioni nikirudi anauliza kama zimetoka, madogo wameshagonga tutions pale mchikichini kwa ticha mwaramsha na wana usongo wa kurudi kati. ila baraza mwaka huu dizain kama wanaremba sana

Dah! Ktambo sana moody physics,mbuga na hidden vp? Bado wapo wanapgsha pnd
 
Basi sawa km hawatoi wasemeeeeeeeeeeee 2angalie ustaarabu mwingne....ghetto limevaa suti ghetto limenyonga Tai.........balaaaaaa tupu mtaaan mpaka 2wape mimba watoto wa watu twende jela ndio watatoa eti

|
hahahaha mr.awesome umenenaaaaaaa kingine canabis sativa znatembea sana kutwa kukimbizana na mamweraaaa. mazafanta our gvt.
 
wakuu kuna taarifa nimeipata kwamba kesho tar.21/06/2015 post will be out.GET PREPARED MDAU
 
Unene Nadedile Ukwikala Nalibhugilija Mashikolo Ayo Tutumanaga Galifuma Nanali! Kunguno Ulu Twikala Twagisagilijagano Tudugijisanga Twalekagwa Nukusolwa Hambuhambu Tuhumule Duhu Tulindile Ulishiku Ulo Bhalagafunijaga Tulagabhona Duhu!
Higiko Bhagalu!
 
jomakib bonyeza#kubadil lugha mana hatuelew!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom