Post za kidato cha tano 2015/2016

Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
kila siku labda kexho mpaka tafika siku maalumu lets wait for result., (bora kusubiri mtihani kuliko kusubiri matokeo)
 
Kesho tunatarajia kuwapa post zenu.Jiandaeni kwa lolote litakalotokea msilalamike kuwa mmepangiwa mbali au tahasusi hukuitarajia,huipendi,huiwezi na sababu zingine nyinginezo..All the best
 
Hahaha hahahaha kamshangeeee.......yani hii nchi bhana...... mwenye namba ya waziri wa tamisemi aiweke hapa nimkumbushe kuwa nina shida na post yangu tu maana nahisi anaogopa kutoa zote kwani hamchelewi nyie kusema oooh mi mtoto wa mjini siendi Shambala..... Mfungwa hachagui gereza hata simiyu naendaaaaaaaaaa
 
Mtoto wa waziri yupo anasoma South Africa afu mimi mtoto wa mlipa kodi nahangaika na post za kwenda kusoma mahali ambpo kuna mazingira magum, chukula2 shidaaaaah, walimu hakunA!!!
 
Alphaking mbona tokea juzi unatuambia post zetu zinatoka kesho sasa hiyo kesho unayoongelea ww ni ip?
 
Jamani em tuulizane...... hivi kungekuwa na hata mtoto wa waziri hapa hizo post zingekaa mpaka wakati huu kweliiiiiiiiiii...... Kweli nmeamini 'mzigo mzito mpe mnyamwezi aubebe'......daaah
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom