Post za kidato cha tano 2015/2016

Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
Subirini hadi itakapo fika tarehe walio pewa wa mwaka majuzi(4m four leaver wa 2012)#MHD
 
Dah...!Hawa Jamaa Wanaleta Kero Kabsa Inauma Kwel.Yaan Had Leo[post] Kimyaaaaa Kwel Elimu Ya Tz Inashuka Lkn Uwez Kujifunika Na Kwel Kama Unakokwenda Ukujuh Uwez Ukapotea Hivyo Ndivyo Ilivyo Tz Ya Ccm
 
masela eeh tutulie tu kutoka post lazima zitoke tu japo inauma sana kutucheleweshea tumezungumza sana ila hatusikilizwi, "hii ndo tzbongo prezida na vibaraka wake wagumu wa kutoa maamuzi;wapo hai kimwili kiakili wameshakufa"
~weakness of attitudes becomes weakness of character.:
-inaillah wa inalillah rajoon serikali yetu ameen.
 
Wadau humu wengi wetu tumesha timiza vigezo vyote vya kupiga kura, hasira zetu tuzimalize oktoba, TANZANIA BILA FISIEM INAWEZEKANA
 
Kuchelewa kwa post zenu kunatokana na matatizo yanayojitokeza matumain yetu hadi kufikia 24 june kila mmoja awe amepata post yake so tunajitahidi kuzipeleka posta ili zifike mashuleni kwenu tumepeleka box za shule kadhaa ila shule nyingine bado tunategemea leo tumalize zoezi letu na tukimaliza mapema tutawapa leo leo hizo post zenu ila msiwe na wasiwasi hadi kufikia 24 june naamin kila mmja atakuwa amepata

Nimeshadanganywa sana we hapo unarudia 2.....
 
Unene Nadedile Ukwikala Nalibhugilija Mashikolo Ayo Tutumanaga Galifuma Nanali! Kunguno Ulu Twikala Twagisagilijagano Tudugijisanga Twalekagwa Nukusolwa Hambuhambu Tuhumule Duhu Tulindile Ulishiku Ulo Bhalagafunijaga Tulagabhona Duhu!
Higiko Bhagalu!

Dah kama waziri ni mskuma basi atazitoa fastaaaaaaa hahahaha hahahaha hahahaha umetisha mkuu
 
Nimepata c nne ambazo niza masomo ya Phs,bios,chem,maths ,je naweza kwenda form five ijapokuwa na GPA ya 1.3
 
wakuu hizo fununu za mara leo mara kesho haziaminik kwel ngoja tusubir iyo siku watakayo amua kutoa wenyewe, ila hao wahusika wanaboa
 
oya mbna hamtuliii kila siku post post mnajifanya. mnaharaka nani kawaambia hazitatoka au unadhan kupiga kwako kelele humu ndo watazitoa kisa umeandika utumbo wako jiamin kila kitu kinaenda kwa mipango. kilivyo pangwa ndio kitatolewa siku hiyo hiyo sio wewe kuanza kutukana just emagine wahusika wangekuwa ndugu zako ungewatukana kuweni na adabu form 5 mtakuja na mtaichoka tu kama sisi tulivyo ichoka cha msingi tulien hamuwez kuipangia serikal ninyi wapo wengi wenye malalamiko wakisema wasikilizwe mambo mengine hayatafnyika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom