tumechoka kusubiri bhana
duuuuu.....ni. shdaaa
Achana na mawazo ya post coz unao wategemea wazitoe wapo kwenye foleni za kuvuta form nao watangaze NIA.Tusubir leo labda wanaweza kutoa
Tumia kiswahili dogo , yai limekukataa
kila la kheri serikali yetu ya ccm kwa kutufanya sisi wanafunzi mapoyoyo
Ndugu! We acha tu,ila hizi zote no pressure ya kujua shule...tukijua wala hatutotaka kwenda mapema