Post za kidato cha tano 2015/2016

Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
Zile can't wait can't wait zitaisha ifikapo j'pili b'se post zitakuwa hadharani. Believe me.
 
Me mwenyewe nasubiri post hapa bt mzuka umekata kabisaaaaa natamani kwenda a_levl kichizi xema gvt wanaznguaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nilijua zimetoka kumbe walaa!
 
Attachments

  • 1434711915415.jpg
    1434711915415.jpg
    43 KB · Views: 208
Basi sawa km hawatoi wasemeeeeeeeeeeee 2angalie ustaarabu mwingne....ghetto limevaa suti ghetto limenyonga Tai.........balaaaaaa tupu mtaaan mpaka 2wape mimba watoto wa watu twende jela ndio watatoa eti
 
Haha mkuu atari atari me karibia naamishwa kijiji uku
 
Basi sawa km hawatoi wasemeeeeeeeeeeee 2angalie ustaarabu mwingne....ghetto limevaa suti ghetto limenyonga Tai.........balaaaaaa tupu mtaaan mpaka 2wape mimba watoto wa watu twende jela ndio watatoa eti

Umenichekesha sana bob
 
Basi sawa km hawatoi wasemeeeeeeeeeeee 2angalie ustaarabu mwingne....ghetto limevaa suti ghetto limenyonga Tai.........balaaaaaa tupu mtaaan mpaka 2wape mimba watoto wa watu twende jela ndio watatoa eti

Umeongea kwa hisia sana dogo...lakini inachekesha
 
Hizi post nazifananisha na njaa. Ile mida ya mapema njaa inakaba kinoma, ila mda unavoanza kukaribia jion njaa inapotea, sawasawa na post hizi....... Mm shauku ishanitoka..... Lolote liwe... I don't care
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom