Post za kidato cha tano 2015/2016

Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
had sasa ni cku 10 tu zlizobaki jufikia julai, hiv wanaohucka wana2fikiria kwel ..........! daaah
 
... Stay calm and wait.

You will be formally notified when your posts will be ready.

Pay attention from now.
 
Kuchelewa kwa post zenu kunatokana na matatizo yanayojitokeza matumain yetu hadi kufikia 24 june kila mmoja awe amepata post yake so tunajitahidi kuzipeleka posta ili zifike mashuleni kwenu tumepeleka box za shule kadhaa ila shule nyingine bado tunategemea leo tumalize zoezi letu na tukimaliza mapema tutawapa leo leo hizo post zenu ila msiwe na wasiwasi hadi kufikia 24 june naamin kila mmja atakuwa amepata
 
VP wenye credit wamepata
 
Huyu alphaking tumemzoea kazi kutudanganya kila siku tokea tarehe 16 anatudanganya tu
 
VP wenye credit wamepata

wenye credits wamepata wengi tu hasa wanawake,watu wa sayansi na hesabu baadhi yao hata wenye D katika comb wamechaguliwa yan CCD kwa makundi niliyoyataja hapo juu
 
Mimi nasubiria hiyo mambo jamani, tena nimejisakinisha na hii maada ile niwe notified soon, yakiwekwa post hapa
 
me nshazipata wakuu ila duh, nimefanya kaz kubwa sana mpaka kuzichuka walipo kazificha
 
Tatizo jf watu wabishi sana tulieni post ni tarehe 27 taarifa nimezipata kwa mtu wa kuaminika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom