apana kusupa
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 210
- 30
Ki ukweli selection tayar ila bado tu kutangazwa rasmi.,
muda si mrefu vijana tutatoa hizo Post!
Ki ukweli selection tayar ila bado tu kutangazwa rasmi.,
Wote wenye CREDIT 1.6>BILA KUJALI JINSIA WANACHAGULIWA,jinsia ni kpaumbele tu yaam wa kwanza kchglwa
yani ww dogo miez 7 umeona mingi sana...acha wenge
Tunataka kujua post zinatoka lini tumechoka kukaa nyumbani
mda umepita jaman hiv mpaka leo majina hayatok kama vip matokeo wawe wanatoa mwez wa sita kuliko kutoa mwez wa pil af post wanachelewesha
Shule hazina vyakula wakuu...tupunguze magazabu
Hi. natafuta mwalimu wa language kwa a_level..niko dar es salaam awe anajua tafadhali.
sasa watapeleka chakula bila kujua idadi ya wanafunzi
Hi. natafuta mwalimu wa language kwa a_level..niko dar es salaam awe anajua tafadhali.
Hi. natafuta mwalimu wa language kwa a_level..niko dar es salaam awe anajua tafadhali.
me napita tu
vp mwenzetu umeyapata?