Post za kidato cha tano 2015/2016

Post za kidato cha tano 2015/2016

Status
Not open for further replies.
agizo toka wizara ya elimu; katibu wizara ya elimu prof.sifuni mchome aagiza wanadvance watarajiwa 2we na subira na post ze2 maana ztatoka 2 ila ck ndo haijulikani.
 
wakuu kuna hbr nimeipata jioni hii kwamba post hazifiki tar.20 zitakuwa zimetoka,kwa hiyo GET PREPARED
 
Wanafunzi mjue mmetusumbua sana humu jukwaani kila kukicha mnaulizia post ngoja niwaambie kwan kitu kimoja,hakuna mpango unaoenda bila utaratibu majina yenu tumemaliza kuyapanga mwezi uliopita lakini hatukuweza kuyatangaza hadi tarehe iliyopangwa inapofika ambayo ni tarehe 18 june kwahiyo kaeni tayari madam tarehe imefika tutawatangazia tu majina yenu this week
 
Post uwenda zikatoka wiki hii. maana mwaka wa jana walizitoa tarehe 18 juni. cha msingi kufanya maandalizi tu.
 
Wanafunzi mjue mmetusumbua sana humu jukwaani kila kukicha mnaulizia post ngoja niwaambie kwan kitu kimoja,hakuna mpango unaoenda bila utaratibu majina yenu tumemaliza kuyapanga mwezi uliopita lakini hatukuweza kuyatangaza hadi tarehe iliyopangwa inapofika ambayo ni tarehe 18 june kwahiyo kaeni tayari madam tarehe imefika tutawatangazia tu majina yenu this week

hahaha wanasubiri HAPPY BIRTHDAY zao ndo watangaze.
 
Kama mambo yakienda sawa huenda leo tukawapa post zenu,,jiandaeni
 
Kama mambo yakienda sawa huenda leo tukawapa post zenu,,jiandaeni

badala ya JF kuwa home of greater thinkers, mnaifanya iwe home of great ------, beware, kuzungumzia post unagusa roho nyingi sana. Au you wanna see when a man fed up anakuaje?
Just keep quite you vagabond
 
Wote wenye CREDIT 1.6>BILA KUJALI JINSIA WANACHAGULIWA,jinsia ni kpaumbele tu yaam wa kwanza kchglwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom