Post yangu ya 3'000

Post yangu ya 3'000

Hongera, Ila mtoto huyo hapo juu kila nikimwangalia naona huruma sana.
 
Mkuu hiyo avatar yako tuu
kiduku noma sana

thanks mkuu.
Nilitaka niweke kama ya mshambuliaji wa Gabon na St. Ettiene, Pierre-Emmerick Aubemayang,
ila nywele zimeniangusha.
Ikabidi nikombeleze ivo ivo...
 
thanks mkuu.
Nilitaka niweke kama ya mshambuliaji wa Gabon na St. Ettiene, Pierre-Emmerick Aubemayang,
ila nywele zimeniangusha.
Ikabidi nikombeleze ivo ivo...

hahahahah
Haya mkuu ila kiduku noma
hongera sana kwa hicho kiduku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom