Sawa MPUMBAVU Mkubwa,MxWapumbavu wawili wakikutana hupumbazana.
Yeah nimepozi Home hapa,Mxmapango mazima!
Vipi usharudi shule?
na litakuchoma sana mwaka huu.
unamwona Rais wa Wajinga anavyotema cheche humu.
Ametisha ile mbaya...
Yeahh mimi ni rais wenu, ndio maana nikiamua nawaharibia siku kama hivi mnabaki kuropoka ropoka tu hovyo.
Mama naona Povu linakutoka 2,dah!sema we kwa pumba sikuwezi,MxYeahh mimi ni rais wenu, ndio maana nikiamua nawaharibia siku kama hivi mnabaki kuropoka ropoka tu hovyo.
Dah, kazi kwelikweli..
Ndiyo hii unayoisoma sasa hivi...
Nilijiunga tangu 2006 nikabadili jina 2010 lakini nimepost mara moja juzi tu ila mara nyingi nimekuwa nakomment kwani zina umuhimu gani?
Dah, kazi kwelikweli..