Post yangu ya 3'000

Duh..... Hongera, ila unapotea sana siku hizi, tena unapotea kwa makusudi, kupigwa ban while you know the rules of the game.
Nilitegemea utatuandalia kakitu fulanu ku-celebreiti namba of posts zako.
 
Duh..... Hongera, ila unapotea sana siku hizi, tena unapotea kwa makusudi, kupigwa ban while you know the rules of the game.
Nilitegemea utatuandalia kakitu fulanu ku-celebreiti namba of posts zako.

hayo ya ban na kupotea kwangu si tulishayamaliza kule kwenye jukwaa la malalamiko mkuu?
Kuhusu something special, msijali.
Nitawapa suprise...
If Gawd wishes.
 
Kwa hiyo wewe ndugu zako wote wapo Chadema? Hongera sana..sie wengine ndugu zetu wapo kila chama na wengine hawana vyama.

duh?
Mbona unanijaza maneno broda, wapi nimedai kama mimi ndugu zangu wa chadema?
When I say gamba i mean anayetakiwa kuvuliwa, asiyetaka mabadiliko just because ananufaika na corrupt regime iliyopo,
hence, YOU!
I don't wanna ruin my thread,
sawasawa?
 
Bora uwe na post 50 ambazo ni constructive kuliko 8000 ambazo aslimia 85 ya hizo post ni utumbo tupu!
Hongera Mphamvu! ukifikisha 6000 utu-Alert pia!
 
Bora uwe na post 50 ambazo ni constructive kuliko 8000 ambazo aslimia 85 ya hizo post ni utumbo tupu!
Hongera Mphamvu! ukifikisha 6000 utu-Alert pia!

dah?
Kwa hiyo mimi nina 3000+ ambazo ni pumba.
Poa bwana, haiko mbaya!
 
0077.gif

Mwanzoni nilikuwa nashangaa kuona mtu ana posts nyingi mpaka najiuliza hawa watu wameajiriwa na jamiiforums, kumbe ni upuuzi mtupu kama wewe mwenye kibwenzi cha kizamani

wivu wa kishamba huo.
Wewe endelea kuumia roho,
wenzio twasonga mbele.
Ya 3'075 hiyo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom