hili huwa linaniumiza sana akili yangu, labda leo unaweza kuniweka sawa kidogo. kama ulivyosema wabunge kazi yao ni kutunga sheria. na nataka kuamini kuwa wanalipwa mishahara kwa kufanya hiyo kazi ya kutunga sheria. hizo sheria naamini kabisa wanazitunga wanapokuwa bungeni, yaani vikao vya bunge ni sehemu pekee naamini kuwa wanafanya kazi ambayo wamechaguliwa/wameteuliwa kuifanya.- Wabunge ni tofauti sana na hao wengine, WAO NI WATUNGA SHERIA! sasa mwenye kutaka sheria mbovu kwa wananchi akiwapa rushwa na kutupitishia sheria mbovu kwa taifa utasema ni sawa na wengine serikalini?
William.
Umeambiwa ukweli. Ukweli umekuuma. Unasema hoja haina mashiko. Huna jibu. Utaniambia ni vema Matonya aendelee kuwa maskini.- People, by the way ukiona sikujibu hoja ujue haina mashiko, so naipotezea! ha! ha! ha! ha!
William.
- Wabunge ni tofauti sana na hao wengine, WAO NI WATUNGA SHERIA! sasa mwenye kutaka sheria mbovu kwa wananchi akiwapa rushwa na kutupitishia sheria mbovu kwa taifa utasema ni sawa na wengine serikalini?
William.
Vizuri sana mkuu. Kumbe mwanzoni ulikuwa ukitoa maoni bila kujua hali halisi ikoje! Sasa hili ni funzo kuwa watu wawe wanatoa maoni yao kwa kuelewa hali halisi inayowahusu watu wa site. Kwa maana hiyo kuna mengi ulikuwa huelewi hadi uliporudi nyumbani na kabla hujaelewa vizuri ukajitosa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki. Nadhani umejifunza utakaa na kuelewa hali halisi ya watu, uchumi na siasa kabla hujajitosa tena kugombea. Hii itakupa fursa nzuri ya kuwatumikia watu kama utafanikiwa kwa kuwa utakuwa umejua shida na matatizo yao na matatizo ya nchi kwa ujumla.
- Wabunge ni tofauti sana na hao wengine, WAO NI WATUNGA SHERIA! sasa mwenye kutaka sheria mbovu kwa wananchi akiwapa rushwa na kutupitishia sheria mbovu kwa taifa utasema ni sawa na wengine serikalini?
William.
Umeambiwa ukweli. Ukweli umekuuma. Unasema hoja haina mashiko. Huna jibu. Utaniambia ni vema Matonya aendelee kuwa maskini.
- Mimi nimeongelea Wabunge niliowaona tayari na wewe ongelea hao uliowaona, hii hoja ya posho za wabunge inajadilika bro, kama sio leo itakwua kesho tena ikiwa very ugly, badala ya kuwapa 200, 000 tutaishia kuwapa zaidi ha hizo!
- Mengina huwa ninaita kelele za mlango!
William.
Kiongozi(Mbunge) anayeweza kuhongwa ili atoe maamuzi mabovu au atunge sheria mbovu za kuwaumiza wapiga kura wake ili kumfurahisha mtoa rushwa huyo hatufai. Huyu ndie anayepigania kuongezewa posho bila kujali kwamba kuna kada zingine za wafanyakazi wanaofanya kazi muhimu zaidi lakini kwenye mazingira magumu.Tazama watu kama walimu,madaktari/manesi, polisi wanaofanya kazi hizi nyeti lakini kwa malipo duni kuliko wabunge wengi(sio wote) wanashindana kukoroma wakiwa ndani ya bunge. Maisha ni magumu kwa kila mfanyakazi na wewe ungefanya kitu kizuri kwa kuwatetea wafanyakazi wote,sio WABUNGE tu.
Hizo kelele za mlango utazisikia vizuri 2015, Watanzania wanaenda mbele nyie magamba mnaenda walikotoka, Mbunge mwenye akili timamu au Chama makini kilichopo bungeni asilani hakitasikika tena kikiongelea habari ya posho labda baada ya 2015, yeyote atakayedai posho katika kipindi hiki kigumu basi ajue anajitupia kitanzi shingoni, Hii thread yako pekee tayari utaibeba kila mahali utakapoonekana kutaka kura za wanainchi,
kwani hizo special hostel kwa tanzania zinashindikana kujengeka???,
so far, hiyo posho inayotolewa inatosha kuwa-acommodate hao wabunge; mbona watumishi wengine wa serikali wanaajiriwa na kupangiwa vituo vyao vya kazi ma-wilayani na mikoani ambao hakuna nyumba za kuhishi na wala posho za nyumba hawapewi lakini wanafanya kazi?????
Ambaye hataki ubunge aache hakuna aliyemlazimisha.
- Watunga sheria ni muhimu sana kuliko wengine wote kwenye taifa, ndio maana China inasonga mbele kwa sababu wanalijua hilo na wanlijali sana kuliko yote, wanahakikisha wabunge wao hawapo kwenye mazingara ya kwua wazi kwa rushwa ndio maan wakiwashika kunakuwa hakuna excuse, maana walishawatengenezea mazingara bora dawa ni Risasi tu!
- Na sisi tujifunze, hii hoja ijadilike sasa, sio lazima posho iwe laki mbili, lakini something must be done now!
William.
- Unajua itatuchukua muda mrefu sana kwa mataifa masikini kujifunza kutoka kwa wachina, wao kila sheria zao zinajali mazingara yao zaidi kuliko siasa za kimtaifa, nimetoa hoja kutokana na niliyoyaona na ni kawaida yetu sisi waafrika kwa wananchi kuwafuata wabunge Dodoma kwenye kikao kuwaomba misaada!
- Sasa yes, inapotaka kutatua tatizo la posho za wabunge lazima uliangalie hilo cause ni reality, Wabunge wetu pesa tunazo walipa atleast nusu zinaishia kwenye mikono ya wananchi wa majimbo yao, hiyo ni FACT, lakini mimi naongelea niliyoyaona Dodoma as a reality, sio hadithi za mtaani!
William.