Wabunge na viongozi wa serikali huitana waheshimiwa, hivyo kutulazimu kuwaita hivyo. Ni waheshimiwa kwa lipi? Kuna tofauti gani kati ya raia huyo aliyekuwa anagombea ubunge mwaka jana na mwaka huu yupo mjengoni (kariakoo)? Ana kipya kipi cha kumzidi yule ambaye aligombea nae ama yule raia aliyempigia kura? Au ni hizo posho na hiyo mikopo na mishahara minono? Hakuna tofauti. Ifike muda sasa wabunge na viongozi serikalini, pawe na sera ya kuitana NDUGU
NapeHivi mhariri wake ni Nape au Mkama?
Tuanze na poso ya katibu mkuu wetu.ikishindikana kabisa kuondoa posho, CDM wachukue posho lakini zisinufaishe familia zao waanzishe clubs shule za msingi,sekondari na vyuoni kushughulikia matatizo yanayokabili makundi haya
Sawa kabisa, huku ndiko kuongoza kwa mfano.Tuanze na poso ya katibu mkuu wetu.
Tuanze na poso ya katibu mkuu wetu.
ccm haimpi mtu cheo kupitia JF kwa kutetea upuuzi ila endelea na jitihada za kutetea yawezekana nape akakuona ukamsaidia kutetea ulaji wa kundi flaniTuanze na poso ya katibu mkuu wetu.
Mbona hiyo posho ya katibu mkuu unaitetea sana?? Au unaona ni sahii yeye kuipata?ccm haimpi mtu cheo kupitia JF kwa kutetea upuuzi ila endelea na jitihada za kutetea yawezekana nape akakuona ukamsaidia kutetea ulaji wa kundi flani