CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,966
- 9,536
Mbona posho ni sehemu ndogo sana ya mapato ya mbunge?
Teh teh!Nasuburi kuona kama Mbunge menye pua kubwa kuliko wote bungeni naye ataandamana.
wewe una kazi?Hivi nyie hamna kazi?
Hivi nyie hamna kazi?
wewe una kazi?
Wepi hao.Wewe acha porojo mnataka tu kugawana pesa zetu (Ruzuku) maandamano sababu ya posho tu mbona wabunge wenu wamechukuwa milioni 90 juzi mbona mlikuwa kimya
sisi wananchi tunawashangaa sana
kazi tunayo labda ww huna?Hivi nyie hamna kazi?
Mtaandamana kila siku mpaka mfe, kibano pale pale.
Hamuwajui CCM nyie kumbe!!!
Polisi imeuwa majambazi weweKwa hiyo una-support utumiaji wa polisi kuwaua wananchi wenzio kwa sababu ya kupinga haki zao muhimu sio? Kweli tuna wanyama Tanzania sio binadamu. Endeleeni kuwatumia hawa polisi na tukifanikiwa kuwaonyesha hawa polisi jinsi gani mnawatumia kama tools kuwaua ndugu zao, watawageuzia nyie nyie na mtakipata. Angalia Libya, Egypt na Syria who thought we would see this.
Hiyo ndio kazi yenyewe! Kudai haki na uwajibikaji.Hivi nyie hamna kazi?