Sitegemei Hamad azungumze tofauti na alivyosema kwa kuwa hiyo ilikuwa ni hoja ya Chadema. Na hapo mjue huyu bwana kafika mwisho wake wa maisha ya kisiasa. Unaona hata uongozi wa wabunge wa cuf chama chake kimemuengua. Hana jipya.
yeah?! Multi. Thas y as a nation we fail to set priorities. Start with mkukuta then kilimo kwanza, mafisadi, then fuel, prices, inflation, infrastructure, health, education, water, then samunge, RACHEL, magamba, bajet, posho, u name it. Miluzi mingi humpoteza mbwamkuu in the model world you head should be multi-task hata simu siku hizi ni multi-task hacha uvivu
Yaani ms akipigwa ban ya maisha, jf itakuwa na memba wengi sana wa maradhi ya moyo kutokana na madudu ya nji hii-but jamaa ni ant-allergy haswa!ms taifa kubwa bana. ccm wajue tz yetu ni maskini
Swahiba wake atakuwa amepigwa ban, sijamwona muda.Bado sijamwona swahiba wa MS, Faiza Foxy sijui nae ataendeleza utaifa unaoanza kumwingia MS au ataendelea kushikilia magamba yake yasidondoke.
We ngoja Katiba mpya ije, wabunge-madiwani wa Zanzibar tunawachinjilia baharini. Na Muungano wenyewe tunauvunja.Sio hivyo tu huko zanzibar kuna wabunge wengine kwanza ni kama madiwani wa Tanzania bara. Kuna majimbo mbunge jumla ya idaidi waiga kura jimboni ni i kichekesho .Mpaka unajiuliza serikali ilikuwa na ulazima gani wa kugawanya majimbo mengi hivyo.
KDI ni ya nani? Nani mwanzilishi wa KDI?
Mohamed Shossi said:Wanasiasa siku zote huwa wanawafanya wananchi kuwa ni wajinga na hawana uwezo wa kufikiri. Haijalishi mwanasiasa anatokea chama gani au jimbo gani wote hutegemea umbumbumbu wetu kuwa ni mtaji wao.Si tumewasikia wakipinga posho za vikao vya bunge?wengine wamefika mbali hata kuandika barua kusema hawataki posho na wameelekeza kuwa posho zisiingie mfuko wa "shati" bali ziingizwe moja kwa moja kwenye mfuko wa "koti" kimantiki wanasema hawataki posho dhumuni likiwa kubana matumizi ya serikali sasa unapoikataa na kuelekeza ile ile posho upewe lakini kwa kutumia utaratibu mwingine ni usanii na kiini macho!
Nashangaa watu wameshindwa kuelewa hili na kulisifia! Sijui ni upovu au ni umbumbumbu wetu ndio unaotufanya tuwe hatuoni! au sijui ni "ukipenda chongo"?Tumeshuhudia posho zao wanazopeana tena huku wakikataa zisikatwe kodi ambayo itasaidia kuongeza makusanyo ya serikali. Kwa akili ya kawaida na mwenye uwezo wa kufikiri hawa wanaopiga kelel kuhusu posho tuwaulize wao wakiwa nje ya makao makuu kwa ajili ya shughuli za chama kama zile zilizozoeleka za "maandamano ya nguvu za umma" wanalipana posho kiasi gani? nusu ya hizo wanazogomea au zimezidi? au hawalipani kitu kwa kukwa wapo kwenye kazi walizopewa na chama? Kama wanalipana basi wanatafuna pia mapato yanayotokana na mlipa kodi kwani wanatumia ruzuku wanayopewa ambayo inatokana na kodi zetu!
My take:Kwa kuonyesha nia njema haitakuwa vibaya vyamka vya siasa vikaomba kupunguziwa ruzuku ili pesa nyingine zitakazobaki zikaelekezwa kwenye kufidia bajeti kuu. Najua hili litakuwa gumu sana lakini madhalan chama kina pokea 100 kikipokea 50 n a hamsini ikaelekezwa kwenye maendeleo si jambo baya na hii iapply kwa vyama vyote pamoja na chama tawala.
Umenena vyema ndugu, juzi nimefika hospitali kijijini Mbulu daktari anaona wagonjwa foleni nje nimekaa tangu saa 4 na sikumwona anatoka, imefika saa 8 akaja nesi mbio kumwita wanadharura wodini, akatoka akisema hata chai sijanywa, akampa yule nesi 500 amletee soda kibandani huku yeye akitimua mbio kuelekea wodini. Nadhani na hawa wanatakiwa angalau chai na chakula na sio wabunge kulipwa posho. Naunga mkono hoja.hili swala ambalo ameliibua mbunge wa chadema mh.zitto kabwe kuhusu matumizi ya posho serikalini nakubaliana naye 100% kabsa haiwezakani mwalimu mwenye mshahara laki na nusu atoe fedha ake katka mshahara wake anunue chai na chakula akiwa shuleni anafundisha wakati wabunge na wengine maofisini wasio kuwa na majukumu mazito wanapewa posho za chakula hadi za kusinzia kazini na mishahara yao ni mamilioni uwoni tunategeneza gap la alienacho aendelee kuongezewa wakati asionacho anyanganywe ckubaliani nalo psodho futilia mbali nipeni mawazo yenu mwanaharakati mwenye kusubiri kufa
Slaa mwenyewe alijifanya kupigia kelele mshahara wa wabunge upunguzwe, alipo pata ukatibu mkuu akawalazimisha CHAKushindwa wamlipe kama mbunge, na kwanza kupinga hii hoja yako atakuwa Slaa. Na anae bishia hili basi huyo ni mwenda wazimu kabisa, abishe tu ili tumjue sasa