siasa ni mchezo mchafu kuliko matusi yanguoni
kama wako sirias kweli
1.wasikubali kupokea kwa siku posho zao
2.wakifika mwisho wa vikao wamwambie mh spika hela zetu tupelekee kiasi kadhaa hospitl ya muhimbili,kadhaa mawenzi na kadhaa wanunue magari ya wagonjwa nakwambia hizi jamba cheche na kama wamedhamiri wajaribu..wanachofanya wanajua ccm awatakubali so itaishia walitoa wazo la kukataa posho...weee squad nzima iko bungen unafanya mchezo mwaka hu awakutaka ujinga
Kwa kusema hivyo tu, wanaonyesha kuwa wako tayari na wao kukosa posho hizo kwa maendeleo ya nchi. Katika hilo sioni mantiki ya kuanza kuhoji kwanini wao wanachukua posho. Kiongozi ambaye yuko tayari kupunguza maslahi yake kwa maendeleo ya nchi ndio anatakiwa katika zama hizi. Hata hivyo, cha msingi sio uwingi wa posho. Tunaangalia kiasi cha posho hizo na hali za watanzania. Nani anayesema kuwa Chadema hawataki posho hizo. Kama
nakubaliana na wewe 100%; wabunge wa chadema lazima wawe makini sana na hii kitu. Kanuni ya msingi inasema "usimwamshe aliyelala, utalala wewe". Kama wabunge wa cdm na chadema inafanya hili suala la kuwaamsha watanzania kinafiki inaweza kula kwako viabaya sana kuliko inavyoweza kula kwa ccm. Ni kweli kabisa kama kweli wanataka sisi wananchi tuwaelewe na suala hili likomeshwe moja kwa moja kuanzia kikao hiki wasichukue hizi unjustified allowances; nina imani hii itajenga msingi mzuri sana wa kukabiliana na tatizo hili ambalo ni kubwa sana serikalini na cdm itajijengea kuaminiwa zaidi na wananchi.
Sijakuelewa mkuu umesema kususia posho au kususia vikao vya bunge? nadhani hapo moja linawezekana lakini sio yote mawili mambo hufanywa kwa awamu awamu we wa wapi wewe?
Butola ndugu yangu, kinachopiganiwa sio posho ya wabunge pekee,hapo ni pakuanzia tuu. Posho za vikao zitolewazo kwa watumishi wa serikali na mashirika ya umma kwa mwaka ukipata idadi yake utashtuka. Huijui CCM na watu wake wasivyo na haya? Wabunge wa CHADEMA wakisusa wao bila aibu watakuambia ok na mfumo utabaki hivyohivyo. Hauta gusa sekta nyingine na hizo fedha za posho ya Wachadema haziwezi kuleta mabadiliko yeyote.Hauwezi ukaupima userious wa mtu kwa analoliongea bali lile analolitenda, inawezekana kabisa anayesema haitaki hiyo posho ndiye anayeipenda zaidi ila ameamua kupiga domo tu kwa sababu anauhakika kauli yake hiyo haitasababisha ulaji huo uondoke, sasa totoke huko na tupige hatua mbele..Mbunge yeyote anayeamini hiyo posho sio ya haki, asimame na kuhesabiwa kwa kuzikataa hizo posho sasa, full-stop.
Mrbwire mkuu, usijichoshe na huyo wewe endelea na majadiliano yenye tija. Wengine wanajaza post za hovyo hapa kisha jioni anaenda pale Lumumba kuchukua sitting allowance ya kuchafua JFSoma vizuri posts kaka. Katika wachangiaji wote sijaona aliyependekeza kususiwa vikao vya bunge... lol!
Wakuu natanguliza samahani kwa nitakayemkwaza lakini ukweli katika hili siwaelewi viongozi wa vyama vya upinzani including CHADEMA kama wako serious! Hivi wanashindwa nini kususia posho hizo za wabunge??? Je kisingizio ni kwa sababu wakiacha CCM wanachukua?? If yes, Je inaleta mantiki yoyote?? Kama CCM wanaziiba, (na of course ndivyo ilivyo) je wao wanaona wakiziacha watakuwa wamewasusia CCM na hivyo bora na wao waziibe??? Jamani, hili linanikoseha raha na kunipa wasiwasi kama kweli dhamira yetu ya kuikomboa nchi hii inadhihirshwa hasa na tunachokisema na kukikariri kila siku.
Najua CCM hawataruhusu kuziondoa hizo posho ambazo sisi tunaamini kuwa ni kuwaibia wananchi wanyonge wa nchi hii!! Sasa je, kwa sababu CCM watakataa basi na wabunge wa CHADEMA wazichukue!!! Gosh!! Why? Hoping that two blacks will eventually make white??? TUACHE UZEMBE!!! NA TUMAANISHE KWA DHATI TUNAPOSEMA TUNA DHAMIRA YA KUMKOMBOA MWANANCHI ALIYEKATA TAMAA KUTOKANA NA UONEVU WA SERIKALI YA KIKWETE!!!! Viongozi wetu tunaomba mtutoe mashaka na kulifanunua hili!
Naanguliza shukurani kwa viongozi watakaochukua hatua kulifafanua kwa makini suala hili!
Hamna aliye serious hapo, hiyo ni domo tu la kisiasa, tulimsikia Dr.Slaa mwaka jana na akapata sana publicity ya kisiasa lakini leo hii hana tena ujasiri wa kuliongelea hilo kwa kuyaramba matapishi yake na hivyo kuonyesha uhalisia wa mtazamo wake halisi aliokuwa ametuficha juu ya hilo.
Sintamuamini mtu yeyote juu ya hizi porojo za kujitafutia cheap popularity,kama mtu yuko serious aanze sasa kwa kuonyesha mfano wa kuzikataa hizo posho na sio vinginevyo.
Asante mheshimiwa Zitto, umefanya vizuri sana kuweka kumbukumbu hizi hapa jamvini, na wananchi tunawasupport kwa pendekezo na mimi naamini hata kama watalipiga teke lazima litapita tu miaka ijayo, nchi yetu inahitaji karibia kila senti ya serikali kwa ajili ya maendeleo pamoja na huduma ya jamii, waonyesheni kwa nini mnataka posho ya vikao iondoke haki siku zote hushinda hata kama ni baada ya muda mrefu na nyie mko upande wa haki na lazima mtashinda.We must walk the talk. I have written to the Clerk of Bunge that all sitting allowances I am entittled to should be directed to a charity in my constituency up to when the law is changed and sitting allowances scrapped.
I will advise my fellow CHADEMA MPs to take similar measure.