Poor Men (Wanawake Wanatunyonya)

Hivi ww na Preta hamuoni huyo mdada kashika sandwich....na kwenye sahani yake kuna michakula

wakati mkaka kwake ni kweupeeee, yuko na fanta tu

mi naona kitu kama mandazi si mandazi....kalmati si kalmati.....wala sielewi....wewe iko ona sana.......
 
Heh, wanamme wabinafsi? Huyo dada mtafute baada ya masaa kadhaa, yeye ndio atafanyiwa nayofanyiwa mie kwenye avatar, na wala silishwi sandwich
 
"ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu"...mwanamke hata awe anaringa, mtu wa dini au vyovyote vile, kuna wajanja zaidi yake lazima kipochi manyoya watakifunua tu na kutafuna hizo hazina ndani yake....chezeya jinsia ya kiume!!
 
Hivi ww na Preta hamuoni huyo mdada kashika sandwich....na kwenye sahani yake kuna michakula

wakati mkaka kwake ni kweupeeee, yuko na fanta tu

Labda hajisikii kula je?......au labda keshakula zamani mdada akiwa bado hajafika so amefika kaona amsindikize na hako kafanta lol!
 
Why men population will remain low forever......

This guy is taking soda while buying gal friend chapati 3, sandwich ya nyama na samaki wa kipande

View attachment 66023

Huyu anaonyesha upendo. Hela haitoshi na anataka kumuonyesha mpenzi wake kuwa kweli anampenda. Anasamehe yeye kula anampa anayempenda. Upendo mkubwa! Au upendo wa mashaka???????
 
Mie ndiyo maana huwa WANANINUNULIA Misosi maana kutoka day one natangaza kuwa ni mtoto wa Mkulima, Ng'wana Sikonge. Sasa hela niitowe wapi?

Nyie endeleeni na hao wanaojifanya WAZURI ila hawatambei na pochi.
 
Boflo una mambo wewe...kwahiyo tunashinda njaa ili wao waweze kushiba. Ya kweli hayo?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom