Poor Men (Wanawake Wanatunyonya)

Ninaomba kutofautiana na mleta thread: Huyo bi dada ndo mwenye fedha zake, kijana akahofu kuagiza msosi wa nguvu na kusingizia kuwa alishakula home.
 
kuna mshkaji wkt tunasoma azania alitumia pocket money ya wiki kumnunulia ngamia (gals wa jangwani sec) zawadi na mazaga zaga. amerudi hosteli pale hana hela ya kula akawa anakula mihogo na kugongea misosi kwa washkaji wiki nzima maana hawezi enda hm kuomba tena hela

Adha yote hii juu yanini?lol!
 
Boflo, enzi za Twiga Hotel pale Roof Garden, kuna mdada nilimdate, wote tukaagiza vinywani na chakula, imagine enzi hizo Chicken masala ilikuwa na bei. You know what she didi? Alikula vijiko vitano tu.....eti nimeshiba. Sikumjibu kitu, nikavuta sahani nikala, and that was the end of our friendship. Nikaona huyu ni muharibifu tu, hafai.
 
kama huyo sio wewe.....umejuaje hivyo vitu ndio vipo kwenye sahani......? mbona mimi sioni.....
Mleta uzi ni mhudumu tu wa huo mgahawa hivyo yeye ndiye aliye wahudumia. Halafu huwezi amini jamaa alikopa!
 
Mleta uzi ni mhudumu tu wa huo mgahawa hivyo yeye ndiye aliye wahudumia. Halafu huwezi amini jamaa alikopa?

Ni kweli kabisa usemayo....na kwa kuongezea huyo demu alikuja na tax na jamaa akamlipia wakati yeye kaja na daladala
 
Boflo, enzi za Twiga Hotel pale Roof Garden, kuna mdada nilimdate, wote tukaagiza vinywani na chakula, imagine enzi hizo Chicken masala ilikuwa na bei. You know what she didi? Alikula vijiko vitano tu.....eti nimeshiba. Sikumjibu kitu, nikavuta sahani nikala, and that was the end of our friendship. Nikaona huyu ni muharibifu tu, hafai.
Safi sana. Hiyo ndio dawa yake.
Wao wanadhani pesa zinaokotwa tu, kumbe zinatafutwa kwa nguvu kubwa.

Mtu umeamua kuonyesha ukarimu wa hali juu halafu msichana anaonyesha nyodo za kishamba.

Huo uliouonyesha ndio uanaume haswa. Safi sana mkuu, hivyo hivyo mpaka washike adabu.
 
Why men population will remain low forever......

This guy is taking soda while buying gal friend chapati 3, sandwich ya nyama na samaki wa kipande

View attachment 66023
Hey Boflo Hebu Mjibu mkuu Preta Swali lake?

kama huyo sio wewe.....umejuaje hivyo vitu ndio vipo kwenye sahani......? mbona mimi sioni.....
Mkuu Preta mimi ninahisi huyu atakuwa ni Boflo sasa Udhaifu wake huyu Boflo anadhani ndio Wanaume wote tupo hivyo hahahahahahahh :laugh::clap2:
 
Last edited by a moderator:
mkuu hapa tuashum kwamba jamaa aliwah akakamua diet ya maana kikafuata kinywaji...bint alichelewa fika...
kinyume na hapo jamaa anazuga tu.. salio dogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom