Pongezi Nancy Mwenyekiti CHADEMA California

Pongezi Nancy Mwenyekiti CHADEMA California

View attachment 63560Kamanda Nancy Asenga achaguliwa kuwa mwenyekiti Chadema California. Tunampongeza na tupo nyuma yako. Peopleeeeeeeeeeeeees! Poweeeeeer!

Mara ya mwisho kuja Tanzania hata kwenye kampeni ama mkutano au hata kusalimia ilikuwa lini ? Ni nini mchango wa watu wa aina hii huko waliko ? Naombeni mnipe elimu maana watanzania na hasa wapenzi na wanachama wa Chadema walioko Tanzania ndiyo wanayajua machungu na mapambano maana wako ground na hawa wa huko nje wao wanafanyaje kuiondoa CCM ? Maana hata machapisho yao kuelezea Dunia juu ya machafu ya CCM siyaoni wala kuyasikia .
 
Mkuu mbona wapo tu humu Jf na wanapiga kazi ya kuiondia ccm kupitia humu?
Yupo rafiki yangu Tuko yuko nje lakini nondo zake utadhani yupo Kwa Msisi Kondoa
 
Last edited by a moderator:
Tuache unafiki? Tunamhukumu kwa nguo hizo au nguo zingine?Uliona nguo za mke wa yule mgeni wa juzi toka Ame..rika?
 
Na ma ma yako ni kitu cha nani ccm maana ni kiongozi na hakuna kiongozi mwanamke ambae hana dume magambani.

Mama'ngu alifariki kabla ya chadema kuwepo duniani, umenoa. Jee, wewe mama'ko ni chadema?
 
Kamanda Nancy umeumbika Mama, piga kazi tulikomboe taifa letu.
 
View attachment 63560Kamanda Nancy Asenga achaguliwa kuwa mwenyekiti Chadema California. Tunampongeza na tupo nyuma yako. Peopleeeeeeeeeeeeees! Poweeeeeer!

attachment.php
 
Mimi binafsi sipendi Siasa na wanaSiasa kwa ujumla. Na si mwanachama wa Chama chochote cha SIASA.

CHADEMA Kama Chama ambacho kinanadi Sera ya Ukombozi na Maendeleo inabidi kuangalia upya jinsi inavyochagua Viongozi wake. Asilimia kubwa sana ya hawa Viongozi wanaochaguliwa kwenye matawi huko Ughaibuni ni wa kutoka kaskazini. Ina maana hamna watu wenye uwezo kutoka mikoa mingine?

Hao Viongozi wanaochaguliwa kuna uwezekano mkubwa Kama CHADEMA ikishika madaraka wakapewa VYEO nyeti Serikalini. Je, WATANZANIA tuko tayari kuongozwa na "Wahuni"!?

Nancy namfahamu vizuri sana. Na wadau wengi wanaomjua huyu "Demu" watanielewa nazungumzia nini hapa. Sidhani Kama ana sifa ya kuwa kiongozi katika jamii...let alone Chama.
Tabia zake ziko wazi,sihitaji kuorozesha hapa kila kitu. Ila kwa watu wanaomfahamu wananielewa.

CHADEMA ilikuwa inanipa matumaini,lakini kwa style au Viongozi mnaochagua huko UGHAIBUNI inavunja Moyo sana.

WATANZANIA TUWENI MAKINI SANA. ISIJE IKAWA TUNARUKA KOJO KWENDA KUKANYAGA KINYE.SI.

Nyie ndio wale mnaolalamikia matokeo ya uchaguzi wakati huo huo hamtaki kushiriki kwenye siasa. Ni kwa nini hushiriki kwenye harakati za kisiasa (mathalani kugombea, kupiga kura na kulinda kura) ili tuondokane na viongozi unaodhani wewe si wazuri? Nakufananisha na watu wanaolalamikia maisha magumu lakini hawataki katakata kupiga kura kwenye uchaguzi kisa hawapendi siasa wakati siasa ndiyo inayowalaza njaa.
 
asante kamanda ,kanyaga twende.Magamba wamenuna hadi sasa karibu watacheka tu.kwani wakinuna sana wataharibu sura zao kwa makunyanzi
 
Mama'ngu alifariki kabla ya chadema kuwepo duniani, umenoa. Jee, wewe mama'ko ni chadema?

kumbe mamako alishafariki ndio maana hauna adabu kwa wamama..ungekuwa na mama au dada usingemkorea adabu huyu dada wa watu.
 
  • Wajameni kiukweli nimetokea tuu kumpenda huyu dada na nilipoiona hii picha!, nimempenda zaidi kutokana na jinsi anavyojichanganya na watu wa aina zote!. Ukimfikiria ni kiongozi wa Chadema, lakini hapa anampokea 1st Lady wa Tanzania kwa heshima zote kwa sababu huyu pia ndiye 1st Lady wa waTanzania wote wakiwemo wana Chadema!.
 
Attachments

  • salma733902545.jpg
    salma733902545.jpg
    32.6 KB · Views: 146
Mara ya mwisho kuja Tanzania hata kwenye kampeni ama mkutano au hata kusalimia ilikuwa lini ? Ni nini mchango wa watu wa aina hii huko waliko ? Naombeni mnipe elimu maana watanzania na hasa wapenzi na wanachama wa Chadema walioko Tanzania ndiyo wanayajua machungu na mapambano maana wako ground na hawa wa huko nje wao wanafanyaje kuiondoa CCM ? Maana hata machapisho yao kuelezea Dunia juu ya machafu ya CCM siyaoni wala kuyasikia .
Lunyungu
Unataka kumuandalia katibu kitoweo????
cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom