Mimi binafsi sipendi Siasa na wanaSiasa kwa ujumla. Na si mwanachama wa Chama chochote cha SIASA.
CHADEMA Kama Chama ambacho kinanadi Sera ya Ukombozi na Maendeleo inabidi kuangalia upya jinsi inavyochagua Viongozi wake. Asilimia kubwa sana ya hawa Viongozi wanaochaguliwa kwenye matawi huko Ughaibuni ni wa kutoka kaskazini. Ina maana hamna watu wenye uwezo kutoka mikoa mingine?
Hao Viongozi wanaochaguliwa kuna uwezekano mkubwa Kama CHADEMA ikishika madaraka wakapewa VYEO nyeti Serikalini. Je, WATANZANIA tuko tayari kuongozwa na "Wahuni"!?
Nancy namfahamu vizuri sana. Na wadau wengi wanaomjua huyu "Demu" watanielewa nazungumzia nini hapa. Sidhani Kama ana sifa ya kuwa kiongozi katika jamii...let alone Chama.
Tabia zake ziko wazi,sihitaji kuorozesha hapa kila kitu. Ila kwa watu wanaomfahamu wananielewa.
CHADEMA ilikuwa inanipa matumaini,lakini kwa style au Viongozi mnaochagua huko UGHAIBUNI inavunja Moyo sana.
WATANZANIA TUWENI MAKINI SANA. ISIJE IKAWA TUNARUKA KOJO KWENDA KUKANYAGA KINYE.SI.