Pongezi Nancy Mwenyekiti CHADEMA California

Pongezi Nancy Mwenyekiti CHADEMA California

who are you to judge?

Hadanganywi mtu hapa,kama mavi turishakanyaga sana sasa tunataka kukanyaga mkojo sijui wapi sehemu salama kwa mawazo yako lakini yasiwe ya kimavi kama lichama lenu.
 
Hongera Kamanda wetu, tupo pamoja

attachment.php

Wamechagua Mwenyekiti au wamechagua Miss wa huko?
Kwani kulikuwa hakuna wanaume mpaka mchague uzuri? hiki chama kweli Majanga.
Ukiona Slaa yuko mahala lazima mwanamke mmoja au wawili waumie.
 
​safi sana nancy hata cc wa uk tuko pamoja lengo ni kuwatoa hawa ccm na kuirudisha nchi kwa wenyewe watanzania na si kwa wachache magamba.

acheni porojo

mnawatoa ccm mkiwa nchi za watu nani kawaambia embu rudini bana tukomae nao tuache kudanganyana
 
Mvuno mtake radhi bana dada yetu utakuwaje nyuma yake ???
 
wamechagua mwenyekiti au wamechagua miss wa huko?
Kwani kulikuwa hakuna wanaume mpaka mchague uzuri? Hiki chama kweli majanga.
Ukiona slaa yuko mahala lazima mwanamke mmoja au wawili waumie.

haya haya ya silaa na wewe ukiwa sehemu mijianaume lazima ishinde unatufundisha nini??
Ila wallahi mama yangu mwanamke enyekiti kaumbika wallahi kuanza bata chini mpaka
.....chumbile cha mlungu cha kumemena......wallahii,,,,,,,huyu angekuwa kwetu uarabunidada wallahi nakupakisima cha mafuta sio ya ubuyu lakini.........
Hongereni
 
Huyu Binti namfahamu vizuri, amekulia mikocheni.

Ni mpambanaji na mtu wa watu sana. Mengine siyajui.

kila la kheri kwenye majukumu yako Nancy.
 
Huyu Binti namfahamu vizuri, amekulia mikocheni.

Huyu ni mama mzazi wa Amy Nando, mshiriki wa Big Brother mwaka jana.

Ni mpambanaji na mtu wa watu sana. Mengine siyajui.

kila la kheri kwenye majukumu yako Nancy.
 
Wajameni kiukweli nimetokea tuu kumpenda huyu dada na nilipoiona hii picha!, nimempenda zaidi kutokana na jinsi anavyojichanganya na watu wa aina zote!. Ukimfikiria ni kiongozi wa Chadema, lakini hapa anampokea 1st Lady wa Tanzania kwa heshima zote kwa sababu huyu pia ndiye 1st Lady wa waTanzania wote wakiwemo wana Chadema!.
Mzee paskal nowdayz hujawahi kuisemea mema CHADEMA !!
Karibu
P
 
Back
Top Bottom