Pongezi kwa Zitto

Niko pamoja na wewe mleta mada,
Watu hawafuatilii habari halafu wanaanza kuuliza anachofanya hapa jukwaani.Nilitarajia kila mtu angeandika point ya jambo analofanya Zitto linalomfurahisha.
Kwa hakika anafanya mambo mengi sana kwa hii nchi nikitulia nitayaandika hapa. MUNGU AMBARIKI SANA ZITTO, NA MAADUI WAKE WOTE WASHINDWE

Wa Chigoma wanajulikana tu! Mbona hujatusalimia Shikamoo!?
 
zito kaibua ufisadi wa kufa mtu hela za fidia ya pamba.
kwa maelezo zaidi fuatilia bunge.

nasepa.
Yani natafuta muda niandike japo machache tu ya bunge hili.. kila siku huyu bwana anafanya mambo makubwa
1. umetaja kaibua ufisadi wa pamba
2. jana kwenye kujadili hali ya uchumi wa nchi kapendekeza korosho ibanguliwe hapa nchini itatupunguzia hali ngumu ya uchumi. akazungumzia pia suala la ngozi.
3. Juzi mjadala wa Nishati kaelezea ufisadi wa trillions of money PAT
4. Akapendekeza pia TPDC ijitegemee, wazee wakawa wanamtolea mimacho utafikiri kawatukana
5.Jumatatu alichangia muswada wa marekebisho ya anti money laundering ambao mkullo anapeleka bungeni marekebisho ya kitu ambacho tangu kimetungwa miaka 6 iliyopita hakijaanza kutekelezwa, alishuka nondo nusu mkullo aingie uvunguni
6.Leo au kesho atawasilisha pendekezo lake la zao la mkonge bungeni.
Hayo niliyoyasema hapo ni kwa ufupi tu ndani ya hizi siku nne za wiki hii
The guy is full of ideas
 
Anastahli pongezi
 
Kazi kweli kweli.

This is JF. Where great thinkers congragate. Ha Ha Haaaaa !!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom