Pongezi kwa JF Dar Wing

Pongezi kwa JF Dar Wing

Ulinitambua na ukanisalimia sana mwaJ.... Wakati twaingia ulikuja nyuma yetu ukatupita ukatusalimia na ukaingia kabla yetu....

Nilipenda tabasamu lako... Je utapenda kuwa wifi yangu make kakaangu hajaoa bado!!??

Weeeeeee charminglady uishie hapo hapo. Pamoja na kwamba sisi ni ndugu ila hapo kwa my love mwaJ unataka kuvuka mipaka.
Kama ulikuwa hujui huyo ni mke wa mtu, she is married to the only one Mwita Maranya!
 
Last edited by a moderator:
Natamani ningekuwa Home Dar niwakilishe U.K (ukonga) ktk white party..... But natumaini itajirudia kitu ya aina hii charminglady

Kijana Donn nitafute tuandae ''red party'' kwa wanaJF wa Ukonga. Tuko wengi lakini hatujawahi kukutana!
 
Last edited by a moderator:
Daaaahh hakika ilipendeza!
Mkuu Thanda uishi milele!
 
Last edited by a moderator:
Bidada wasukuma wa huku wagumu kuelewa.... Mi nahisi nizungumze na mods wawapige ban may be ndo tutakutana . ...

Ha ha haa charminglady wahamasishe kwa baandiko km hili.

Rocky City Chocolate party/ gathering

Tuko kwenye maandalizia ya rocky city chocolate party itakayo bamba ile mbayaaaaaa.

Wana rocky city na jf members wote tunaomba ushirikiano wenu na mnakaribishwa, yafuatayo yatakuwepo
1. Mnada wa ngombe
2. redio za kawaida lakini zitauzwa kuwa mamilioni ya fedha.
3. wadada wenye weupe wa asili wazuriiii
4. dhahabu kutoa bhuliyanhuu.
5. Ngoma ya chagulaga
6. Baiskeli zitakuwepo za kumwaga
7. Menu kuu itakuwa UGALI
Party hii itafanyika kati sehemu zifuatazo Kirumba stadium/tilapia/ mwanza hotel/saa nane island/ nyegezi/ nyanza grass.

Fanyia kazi hili bandiko utanambia.

Kila la kheri charm lady.
 
Last edited by a moderator:
mbona jana ukanichunia? sikukuona ujue! japo siwezi kukulaumu, nilichelewa kufika!
 
Hivi ulikuwepo??ulikaa wapi?
Hellow.....

Wapendwa wa JF Dar Wing napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa JF Dar Wing kwa ushirikiano mlionao. Hakika ni mfano wa kuigwa na mkiendelea hivyo mtawafunika JF Arusha wing.

Pili naomba niwaombe msamaha kwa kuja kwa muda mfupi na kuondoka kimya kimya ndani ya White Party kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu.

Nilifurahi sana kuwaona baadhi member wenzangu tunaoshinda jukwaani tukipigana vikumbo..

Nilifurahi pia kuwaona akina Paloma, marejesho, Jiwe Linaloishi, Maxence Melo, mike mushi, Ruttashobolwa, lara 1, mwaJ na wengine ambao sikuwafahamu kwa haraka. Bila kuwasahau Madame B, mzee Mtambuzi (ingawa ulinichunia wakati uliniahidi utakuwa nami) na my daddy watu8.. Hakika nilifurahi saaaaaaana!

Kwa wana JF Lake Zone, kilichofanyika JF Dar Wing kwa kweli kilipendeza saaaana. Ni aibu saaana kwetu sisi hasa JF Rock City tumeshindwa kujipanga tukakutana hata kwa dakika chache... Natoa wito kwenu ninyi. Kwanini tusijipange tukakutana???? Tukiamua tunaweza!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom