Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,387
- 108,578
Yaani wewe hadi leo unashindwa kumention jina langu...???
Ila usijali sana mtani, umekosa kumuona Boflooooo.
Ila usijali sana mtani, umekosa kumuona Boflooooo.
Last edited by a moderator:
Hahahaha KOKUTONA hiyo babukubwa!
Hahahaha KOKUTONA hiyo babukubwa!
Tena usinikose kwenye hiyo list. Mimi ni mweupeee achaaaa!!!
Saaana yani.
Kama nakuona vile...bulb yetu gizani..lol
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Haha hahaaaaaaaa! watajua siku nitakapoibukiia rocky city lol
Usisahau kunialika tu na mie niwepo...
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
charminglady nina shaka kama atanialika after what happened juzi....Atakualika charminglady maana nami nitakuwa mualikwa............
charminglady nina shaka kama atanialika after what happened juzi....
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
charminglady si aliona namna Paloma alivyonipiga pin....sasa hapo ana wivu dunia nzima.Umemfanya nini charminglady wa watu huko white party...........?
Anza kujipendekeza tu kwake maana ndo mdau mkuu
Kazi unayo.charminglady si aliona namna Paloma alivyonipiga pin....sasa hapo ana wivu dunia nzima. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kazi unayo.
Anza kwanza mwenyewe, ukishindwa ndo ukuje. RAHA YA CHAKO UKIPIGANIE MWENYEWE. charminglady msamehe mwenzio, analalamika hivyo Ukim bania ujue kuna manyang'au nje wansubiri tu umteme wao wammeze. In the power of LOVE and FORGIVENESS come back to him.Nisaidie mwenzio...nitakupa zawadi KOKUTONA.... Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Anza kwanza mwenyewe, ukishindwa ndo ukuje. RAHA YA CHAKO UKIPIGANIE MWENYEWE. charminglady msamehe mwenzio, analalamika hivyo Ukim bania ujue kuna manyang'au nje wansubiri tu umteme wao wammeze. In the power of LOVE and FORGIVENESS come back to him.