Pongezi kwa Jeshi La Polisi Ruvuma

Gilbert A Massawe

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
6,206
Reaction score
5,074
Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??

Wepesi kama biskuti?

Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.

Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.

Lissu kadakwa kama kuku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Verify yourself first, watanzania pia wanahitaji kuwajua kwa rangi na majina yenu halisi
 
Na yule malaya wao wa Nairobi anabweka tu huko akitag international community iiwekee TZ vikwazo!! Yaani WB iweke vikwazo kwa raia mil 62 kisa kwaajili ya fools errands??
 
Verify yourself first, watanzania pia wanahitaji kuwajua kwa rangi na majina yenu halisi
id yangu inajieleza

Siwezi tumia Id feki maana nachokipigania kipo wazi

Nyie keyboard warriors majina feki akaunti 10 hapa Jf

Ukichukua nyumbu 20 unakuta wana akaunti 200 wanalipwa viposho na kulala sevant kota za Akina Boni yai wanajita Wanaharakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…