Ponda aachiwe mara moja - Lipumba

Ponda aachiwe mara moja - Lipumba

Yeye anadhani Nchi hii haitakuwa na amani as long ponda yuko ndani, anajidanganya.ipo siku kichapo cha kweli kitatembezwa kwa yeyote anae leta vurugu za kidini ndio wajue serikali ipo.kapoteza credibility yake kabisa hususan kwa wasomi

Binafsi sikuamini kauli iliyotolewa kama ni ya Prf Lipumba kweli.hivi kiongozi kama Lipumba anaweza kuwatetea wahalifu waliotenda makosa ya wazi wazi!!?.hawa ndio viongozi wanaotaka kuja kuwa raisi baadae halafu utegemee Tanzania itaendelea thubutu!
 
nyie wakristo siwalaumu sana kwa hayo mnayoyasema coz hamjui myasemayo wala mnayotenda, alieanzisha udini tanzania marehemu ngedere laanatullah yupo kaburini sasa hv anapoke kichapo chake daily, sisi waislamu hatuna chama tunachofungamana nacho coz hakuna chama chochote tanzania chenye sheria za kiislam, ila nyinyi chama chenu cha kanisa aka chadema kipo kuwatetea, na msitake kutupumbaza kuwa eti kikwete mdini kwetu sisi waislam hana mchango zaidi ya kutalii nchi mbalimbali na kushangaa shangaa tu. Ila ngoja niwape siri moja karibuni tunaanzisha chama chetu muslim brotherhood, naam kile kilichochukuwa nchi egypt na kinaendelea kuenea duniani sasa hapo tutakuwa na chama cha dini kabisa tuone kama mtatuzuia, soon come nd no one can stop us now
 
We tukana tokwa na mapovu lakini ukweli utabaki palepale, mimi sinachama na wala sio mdini kama unadhani lakini kwa commenys za humu sasa hivi watu hawashabikii kisiasa bali kidini kwahiyo vyovyote utakavyosema but ukweli utabaki palepale
kwi! kwi! kwi! kwi! kwi! teh! teh! teh! hapo pekundu ndio matokeo ya elimu ya madrassa
 
Hii ndiyo shida ya ilmu madrasatul inayosababisha kuendeshwa na hisia na mihemuko ya kidini; mimi nimesema nini (red hapo chini) na wewe unauliza nini hapo juu? Very low thinking capacity kumbe ndio maana hatuelewani! Sina muda wa ku-argue na kiumbe aina yako.
Mkuu dudus achana na huyu kalewa pilau la jana ondoka zako asije akakutapikia mikachumbari ya vitunguu
 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli Prof Lipumba hakumwona Ponda kwenye kiwanja cha watu pale Chang'ombe akiongoza kundi kubwa la wahuni kuharibu na kupora mali? Hata kama BAKWATA walikiuza kiwanja kile kinyemela ile ndio ilikuwa njia sahihi ya kukirudisha kwa WAISLAAM? Nchi hii itaongozwa kwa mujibu wa sheria au kila mtu kufanya anavyoona inafaa tena kwa kutumia DINI inayoheshimika na kufuatwa na waumini wengi.

Tufike mahala tusianze kutengeneza akina OSAMA wetu hapa. Ambao watafanya mambo hata kuua kwa kutumia jina la Mungu na dini zetu. Wako mawakili na wanasheria wazuri sana Waislaam. Watumike hao kugomboa mali za WAISLAAM na hata kuifuta BAKWATA ikibidi.

Sio siri pia kwamba BAKWATA ipo kwa mujibu wa sheria za nchi. Iheshimiwe. Inaongozwa na WAISLAAM. Ikibidi kuipinga au hata kuiondoa ni lazima sheria zifuatwe. HaTUWEZI kuendesha nchi kwa staili ya akina Ponda.
 
nyie wakristo siwalaumu sana kwa hayo mnayoyasema coz hamjui myasemayo wala mnayotenda, alieanzisha udini tanzania marehemu ngedere laanatullah yupo kaburini sasa hv anapoke kichapo chake daily, sisi waislamu hatuna chama tunachofungamana nacho coz hakuna chama chochote tanzania chenye sheria za kiislam, ila nyinyi chama chenu cha kanisa aka chadema kipo kuwatetea, na msitake kutupumbaza kuwa eti kikwete mdini kwetu sisi waislam hana mchango zaidi ya kutalii nchi mbalimbali na kushangaa shangaa tu. Ila ngoja niwape siri moja karibuni tunaanzisha chama chetu muslim brotherhood, naam kile kilichochukuwa nchi egypt na kinaendelea kuenea duniani sasa hapo tutakuwa na chama cha dini kabisa tuone kama mtatuzuia, soon come nd no one can stop us now

Wewe umedhihirisha ni mpumbavu sana kwa kuandika comment kama hii.Mungu akusamehe bure.
 
Hivi nyie Pro-Chadema JF mbona mnawachukia sana Waislam wamewafanya nini, nimepitia michango yenu wale wote wanaosifia Chadema ndio maadui wa Uislam...tutakutana kwenye box la kura mwaka 2015.
 
Binafsi sikuamini kauli iliyotolewa kama ni ya Prf Lipumba kweli.hivi kiongozi kama Lipumba anaweza kuwatetea wahalifu waliotenda makosa ya wazi wazi!!?.hawa ndio viongozi wanaotaka kuja kuwa raisi baadae halafu utegemee Tanzania itaendelea thubutu!
Prof Lipumba anatafuta legitimacy kwa Waislaam wa aina ya Ponda. Amegombea mara kadhaa Urais wa JMT na kura zimekuwa zikipungua mwaka hadi mwingine. Nasikia mwaka 2015 anagombea tena hivo anatafuta huruma ya Waislaam. Kauli kama ile ya juzi inampa umaarufu kidogo. NChi hii tunakoelekea kila mtu anatafuta pa kushika baada ya kuishiwa sera. Prof wetu muflis sasa hivi kisiasa.
 
Lol Li kama jina Li-pumba kama jina lake lisemavyo kweli pumba asee lakini long time CUF nayo ina udini sana asee
 
Hivi nyie Pro-Chadema JF mbona mnawachukia sana Waislam wamewafanya nini, nimepitia michango yenu wale wote wanaosifia Chadema ndio maadui wa Uislam...tutakutana kwenye box la kura mwaka 2015.
Maadui wa Uislaam wanafananaje Ritz? Mwaka 2015 hatutachagua mtu kwa DINI yake.
 
Ameongea kidini zaidi............kavaa joho la usheikh na u-imanu wa msikiti....hjaongea km mwanasiasa aliyegombea urais mara tano na kupata chini ya 5% mara zote
 
Polisi wanajipalilia mkaa na kuiweka Serikali kwenye wakati mgumu sana.
 
hivi nyie pro-chadema jf mbona mnawachukia sana waislam wamewafanya nini, nimepitia michango yenu wale wote wanaosifia chadema ndio maadui wa uislam...tutakutana kwenye box la kura mwaka 2015.

alafu mbona wale wote wanaosifia cuf ndio wanachoma makanisa bara na visiwani au hujui?.....kumbe unajua kuna sanduku la kura?....nyie waislamu ccm wakiwanunulia pilau tu na kuwaahidi ahadi hewa km kujiunga na oic na kuleta mahakama ta kadhi basi mnapigia ccm.................kweli wasomi ni chakula ya wajinga km nyie
 
kwi! kwi! kwi! kwi! kwi! teh! teh! teh! hapo pekundu ndio matokeo ya elimu ya madrassa

Huo ndio uwezo wako wa kufiri huna hoja, na mkipewa nafasi mnaishia kuliaibisha taifa maana umeelewa kwamba ni typing error but unadhihilisha nilichokisema, Chadema labda wawaongeze ninyi pekee ila kwa nchi yote sahau mkuu!
 
...inaonekana hii ngazi ya udini watu wengi wameona ni rahisi sana kuitumia...kwa sababu "mzee" aliitumia na "akashinda" na huyu pia anataka...hahahaaaa...wameanza kuropoka, wanayoyafanya gizani sasa wanayaweka hadharani. Sijui wanapata wapi ujasiri.......tuwe makini, wahenga walisema.."mchuma janga hula na wakwao"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom