- Thread starter
- #221
Hivi nyie Pro-Chadema JF mbona mnawachukia sana Waislam wamewafanya nini, nimepitia michango yenu wale wote wanaosifia Chadema ndio maadui wa Uislam...tutakutana kwenye box la kura mwaka 2015.
Shut up your mouth!
Hivi nyie Pro-Chadema JF mbona mnawachukia sana Waislam wamewafanya nini, nimepitia michango yenu wale wote wanaosifia Chadema ndio maadui wa Uislam...tutakutana kwenye box la kura mwaka 2015.
Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba ameitaka serikali kumuachilia kwa dhamana Sheikh Ponda Issa Ponda kwani amewekwa ndani kinyume na utaratibu.
Prof Lipumba amedai kusema kwamba Sheikh Ponda alihusika na uchomaji wa makanisa ni uongo na kitendo cha kumkamata ndicho kilichochochea vurugu zilizofanyika wiki iliyopita.Amesema ili kurejesha amani na kunusuru nchi kuingia katika mfarakano ni lazima kwanza kiongozi huyo wa waislam aachiliwe huru.
Source:Mwananchi.
nyie wakristo siwalaumu sana kwa hayo mnayoyasema coz hamjui myasemayo wala mnayotenda, alieanzisha udini tanzania marehemu ngedere laanatullah yupo kaburini sasa hv anapoke kichapo chake daily, sisi waislamu hatuna chama tunachofungamana nacho coz hakuna chama chochote tanzania chenye sheria za kiislam, ila nyinyi chama chenu cha kanisa aka chadema kipo kuwatetea, na msitake kutupumbaza kuwa eti kikwete mdini kwetu sisi waislam hana mchango zaidi ya kutalii nchi mbalimbali na kushangaa shangaa tu. Ila ngoja niwape siri moja karibuni tunaanzisha chama chetu muslim brotherhood, naam kile kilichochukuwa nchi egypt na kinaendelea kuenea duniani sasa hapo tutakuwa na chama cha dini kabisa tuone kama mtatuzuia, soon come nd no one can stop us now
Kama huyu ni kiongozi wa Waislam, mbona tunachanganywa kila leo?
Kuna wanaosema UISLAMU haufundishi fujo na chuki - Ponda sio Muislamu
Kuna wanaosema Ponda ni kiongozi wa Waislamu - Ponda aachiwe huru
Kuna wanaosema Ponda hana hatia ila anachukiwa bure tu kwa kuwa yeye ni Muislamu - Picha za video zinamuonesha Ponda akihamasisha wenzake kuvunja uzio wa mali ya mtu mwingine (Uislamu unaruhusu kuvamia mali ya mtu mwingine)
Kuna wanaosema Ponda hahusiki na machafuko ya Mbagala - Picha ya video inamuonesha Ponda akiwaambia Waislamu nchi nzima wadai haki zao ikibidi hata kwa kuvunja sheria.
Huyu mwenye kauli hizi ni yule yule aliyesema vijana wananunuliwa viroba waandamane. Ama kweli akili nzuri ukiwa nazo. Nashukuru leo kujua kuwa Ponda ni kiongozi wa Waislamu na bila shaka yale ayafanyayo ndio muongozo wa dini yao
Hatuna muda wa kumchukia mtu aliyeko nyuma yetu. Sisi tupo bize na ujenzi wa vyuo na shule, karibuni msome
Mpango umeshaingia dosari kwani kiongozi wenu tayari yupo ndani na amenyolewa ndevu zake kiasi sasa ukimuangalia utafikiri mtu wa maana. Tafuteni muarabu mwingine, huyo Fareed ana matatizo ya akili
Maadui wa Uislaam wanafananaje Ritz? Mwaka 2015 hatutachagua mtu kwa DINI yake.
na bila shaka yale ya mapadri kulawiti watoto na kuruhusu watu wa jinsia moja kuingiliana ndio muongozo wa dini yako
eti eeh! kuvaa kipedo na kula ubwabwa wa hitima si ndiyo dili?hatutaki elimu ambayo watoto watakula vinyesi na kupakatana wenyewe wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake hii civilization yenu ss hapana
hatutaki elimu ambayo watoto watakula vinyesi na kupakatana wenyewe wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake hii civilization yenu ss hapana
BAKWATA ipo kisheria ndio. Ndio maana inamiliki mali. Inaendesha IBADA za KIISLAM kitaifa kama jana kule Mwanga. Nikwambie jambo moja Ritz: Mkifanikiwa kuivunja BAKWATA hamtaweza kuunda umoja kama huu nchi hii. Waislamu ni ndugu zangu, ni shemeji zangu, ni majirani na marafiki zangu wakubwa. Nawafahamu. Sio wamoja kiivyo. Hawawezi kuunda chombo cha pamoja kama ilivyo BAKWATA ambayo ina uongozi wa wilaya, mkoa hadi TAIFA.WildCard,
Hakuna anayechagua mtu kwa DINI sisi waislam itakuwa na ndio nafasi yetu kupambana na wale wote wanaopamba na waislam.
Mfano mdogo kwako wewe unaowasemea waislam eti waiheshimu Bakwata imewekwa kisheria.
Mkuu saizi uwanja ni wenu tutakutana mwaka 2015 kwenye box la kura.
Sijaona ukijibu hoja badala yake umeleta mambo yasiyokuwepo. Ni vyema ungetoa mtizamo wako je kwa yale aliyoyafanya Ponda ahesabiwe kama muislamu au kama mwovu mwingine?
Suala la watoto kulawitiwa halifanywi na mapadre tu imethibitika ni vitendo vya kawaida tu kutokea kwenye madrassa kote duniani. soma hapa uone hata hapa nyumbani yapo na hata kule Kibada na Dodoma mambo haya yametokea mwaka huu huu. Soma hapa pia
Ningezikubali shutuma zako endapo padre angebaka halafu Kanisa lisimame kumtetea. Kuna tofauti kubwa ya hoja hizi mbili kama una akili utanielewa. Mimi sikusema Ponda anatekeleza Uislamu kwa kuiba, kuvunja na kuhatarisha amani, lkn unataka nielewe nini ikiwa anakuwa termed as Islamic Leader na the so calles Muslims wanataka aachiwe kwa msingi huo?
Jibu hoja, matusi hayajengi
and this is the next president of the united republic of Tanzaniaaaaaaaa.
ponda hajachoma kanisa, ponda kaenda kuondoa dhulma ya bakwata ilioanzishwa na ngedere nd kanisa mbona ndio linalofungisha ndoa mashoga