aisee...
Tyta wewe ni balaa Excel (biashara yako ya kuuza mahindi mabichi na mvua hii sidhani kama inaenda) umeona hii na Tized (kwanza habari yako mafuriko yamekuachia suruali ya kazini) na utafiti (sijui kibanda chake cha simu kimepona na mafuriko haya na Mndengereko (ule mchanga uliokusanya kuuza nina uhakika mafuriko yameurudisha mtoniaisee...
Mr Rocky mimi mvua naionaga tu kwenye tv, huku kwetu ikipita tu unaenda na safari zako. Muulize Excel kama kule juu ya mti kashashuka au bado?Tyta wewe ni balaa Excel (biashara yako ya kuuza mahindi mabichi na mvua hii sidhani kama inaenda) umeona hii na Tized (kwanza habari yako mafuriko yamekuachia suruali ya kazini) na utafiti (sijui kibanda chake cha simu kimepona na mafuriko haya na Mndengereko (ule mchanga uliokusanya kuuza nina uhakika mafuriko yameurudisha mtoni
Kwa sisi wengine harusi ni kanisani ukumbini kushereheka. Hatufungi ndoa ukumbini.
Maandiko matakatifu yanasema mpe masikini kilevi asahau shida zake.