TrueNi sifa nzuri?
Vijana wa arusha ni kama vijana wa mzee Mandela wanapenda starehe kuliko kazi.
Mgeni ukienda ukatoboa maisha wanakuja kukuibia hata kukuua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kuandika na kusimulia..HongeraKivipi Boss
Wanaume was dar nyuma wametobolewa axa wanywe vi serngt.liteNani alikudanganya kuwa ukitumia gongo unajiharishia?
Labda wanaume wa dar ndo huwa mnafanya hivyo.
Tushukuru serikali kuvipiga marufuku viroba bila hivo tungezika wengi Sana hasa kipindi hiki chenye ugumu Wa maishaHallo wanaJF? Heri ya mwaka mpya.
Hii ni wiki ya pili nashuhudia vijana wa hapa mtaani wakinywa pombe za kwenye karatasi almaarufu kiroba nikawauliza "Oya vipi machalii hizo zaga mmeokota jalalani nini? Wakanijibu Bushmamy mbona haya makitu yapo tele chuga hapa"
Wanaendelea kaniambia, "Kama vip fanya maniaje ni aje (Yaani hela) tukakuletee hata sasa hivi".
Nikala ganzi siku Ikaisha. Maana walikuwa na pakiti za kutosha wanazifyonza tu.
Siku ya Pili:
Nacheki na chalii mwingine nikamuuliza vipI dogo Malaga yale mmeokota wapi akanijibu hayo makitu yapo na yanauzwa tu mbona ila kwa siri kwa hiyo kuna uwezekano kuna sehemu wanazalisha.
Ila jamani twende mbele turudi nyuma Machalii wa Arusha pombe, bangi, inawamaliza, utumiaji wa pombe wa vijana hapa wengi ni zile kali na sio bia unakuta pombe hapa inauzwa buku au buku mbili lakini alcohol iliyopo ndani yake 40.
View attachment 1310237
Ukiweza tokomeza bangi tutawezatokomeza viroba mikoa ya border viroba tele wengine uvuka border wanavinywa wanarudi na stimUpigwe msako mkali, tutaishia kutengeneza taifa la vijana walevi
We kichwa maji soma hapa chini👎Inaonekana wewe ni msengerema yaani mwenyeji wa sengerema. Pombe wanywe wengine wewe laini yako ya tigo inabeep. Kwani wewe ndio mkuu wa mkoa? Acha machalii wajiharibu
Tushukuru serikali kuvipiga marufuku viroba bila hivo tungezika wengi Sana hasa kipindi hiki chenye ugumu Wa maisha
hata hapa East London inapatikana kwa kiwango cha juu sanaHallo wanaJF? Heri ya mwaka mpya.
Hii ni wiki ya pili nashuhudia vijana wa hapa mtaani wakinywa pombe za kwenye karatasi almaarufu kiroba nikawauliza "Oya vipi machalii hizo zaga mmeokota jalalani nini? Wakanijibu Bushmamy mbona haya makitu yapo tele chuga hapa"
Wanaendelea kaniambia, "Kama vip fanya maniaje ni aje (Yaani hela) tukakuletee hata sasa hivi".
Nikala ganzi siku Ikaisha. Maana walikuwa na pakiti za kutosha wanazifyonza tu.
Siku ya Pili:
Nacheki na chalii mwingine nikamuuliza vipI dogo Malaga yale mmeokota wapi akanijibu hayo makitu yapo na yanauzwa tu mbona ila kwa siri kwa hiyo kuna uwezekano kuna sehemu wanazalisha.
Ila jamani twende mbele turudi nyuma Machalii wa Arusha pombe, bangi, inawamaliza, utumiaji wa pombe wa vijana hapa wengi ni zile kali na sio bia unakuta pombe hapa inauzwa buku au buku mbili lakini alcohol iliyopo ndani yake 40.
View attachment 1310237
Pale Kampala gongo ni pombe halali kabisa wanaiita Uganda waragi.We kichwa maji soma hapa chini👎