wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,460
- 4,404
Arusha unywaji wa beer uko chini sana vijana wanapiga ivi vipombe vya 2000 au 2500 Ajabu sasa alcohol volume 40% niliwahi test diamond na Rivella ni hatari sana viliniwasha balaa ila chap tu vinatoka pia mwilini ukipigwa na baridi
Tena anakunywa zaidi ya kumi
Mwanaume ni yule anayekunywa gongo tu.Mkuu mtu anakunywa kitu chenye alcohol 40% unamuita mchumba.
Mchumba ni yule anayekunywa vi kesto,safari etc
Arusha unywaji wa beer uko chini sana vijana wanapiga ivi vipombe vya 2000 au 2500 Ajabu sasa alcohol volume 40% niliwahi test diamond na Rivella ni hatari sana viliniwasha balaa ila chap tu vinatoka pia mwilini ukipigwa na baridi
Mwanaume ni yule anayekunywa gongo tu.
Ni cheap ila vinapungua kasi haraka mwilini, mimi hata nyagi pia hainileweshi kiivo ila bna K vant ndo baba laoAlch 40% Mara 4.... Ni hatari. Rivela kitoko c mchezo....
Nani alikudanganya kuwa ukitumia gongo unajiharishia?
Kweli kabiza hizo bidhaa ni halamuUcha usnitch mamiloo umekuja kutuchoma au hujui kuna watu wanaendesha familia kupitia hiyo bidhaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa mkoani si mnakunywa matapu tapu tu,njoo mjini hapa ujionee watu wanakunywa gongo kali mpk wanapofuka macho hapo hapoNani alikudanganya kuwa ukitumia gongo unajiharishia?
Labda wanaume wa dar ndo huwa mnafanya hivyo.
[emoji87][emoji848][emoji28]Mamiloo acha usoro kutuchoma unaleta mambo ya kinjeree watu tumechoka na hili life tunauza haya mazagaa tulishe familia we unakuja kutuanika unayumba acha kuleta mambo meusi
Waambie wapoloo hayo makitu ninayo wazame apo kwa fasi ya duasi mitaa Fulani Hivi ya sinoni ninayo unanipa mtonyo nakupa zaga ukileta mambo ya kiwaki nitakuchezesha kingaleloo mpako ujute waulize wahuni wa ngareseroo wananijua Mimi ni nani hata mitaa Fulani sanawari nimechafua mbaya machalii wote wananijua haikatai haikatox
Sent using Jamii Forums mobile app
You're a terrible writterTena anakunywa zaidi ya kumi
Mkuu mtu anakunywa kitu chenye alcohol 40% unamuita mchumba.
Mchumba ni yule anayekunywa vi kesto,safari etc