Pombe mpya yazinduliwa: Unalewa masaa matano baada ya kunywa

Pombe mpya yazinduliwa: Unalewa masaa matano baada ya kunywa

Hii safi tutakuwa tunaanza saa 5asubuhi. Stimu saa 10 muda wa kazi umeshaisha. Pongezi kwa J-Ping

It is a deadly slow killing poison. Most of time a fast killing poison could easily be handled and its effect is less permanent compared to slow creeping killing poison. That kind of poison its damage is irreversible. Remember alcohol is poisonous that is why it is someone is intoxicated by alcohol. The best way is to do without any
 
Kiwanda kimoja nchini China kimezindua bia iitwayo "Fresh mind beer" ambayo unakunywa na kulewa masaa matano baadae!

Meneja wa Kiwanda hicho kilichopo Ghuanzou amesema bia hiyo ni matokeo ya utafiti uliodumu takriban mwaka mmoja na nusu ukihusisha pamoja na mtaalam mmoja toka kiwanda cha Bavaria nchini Ujerumani.

Meneja wa kiwanda hicho bwana Lee Jong-kim amesema kinywaji hicho kitaepusha mathara yatokamayo na ulevi kama ajali za barabarani na ugomvi sehem za bar.

Aliongeza pia bia hyo inaweza kutumika hata ofisin kwan ladha yake ni kama juice na mnywaji atahisi ulevi masaa matano badae.

Akifafanua zaidi amesema bia hiyo pamoja na mambo mengine inatengenezwa kwa kutumia ngano na zabibu.

A poison is a poison but a slow killing one is a more deadly. A fast reacting biochemical reaction has less permanent damages compared with slow and creeping one which its effect is irreversible. Alcohol is a poison which once taken someone is said to be intoxicated. Its a brain toxin or poison. The best way is to be sober and do without any form of Industrial alcohol
 
Kama mchina analewa baada ya masaa matano mngoni mgoni masaa 9 mchaga masaa11. mhaya nusu saa. msambaa baada ya siku mbili. msukuma masaa 24. mzaramo nusu saa. mmasai siku mbili. mkurya wiki. mnyakyusa siku tatu. mzambia wiki.
dah. JF raha sana strsssss zote kwsha
 
Nackitika sana kwny masherehe kutakuwa na ugomvi kwny kamati za vinywaji.......watu watakuwa wanalalamika hawajalewa kumbe zinasubir muda wake, na pia tutegemee watu wengi kufia ucngizini....lazima vifo vya namna hiyo viongezeke
 
Ntakuwa nainywa saa 9 mchana saa2 tu chali inatufaa hiyo.
 
Mimi nakunywa hadi saa 8 usiku wakati mwingine manake mida hii ndo mizuri ya kulewa kama utakavyo, sasa kama inaanza kulewesha masaa matano baadaye si itanikuta nipo ofisini asubuhi? Au basi nitakuwa nakunywa kuanzia saa 1 usiku mara tu baada ya kazi ili nije kulewa mida ya saa 6 hivi.
 
Heeeee hii kwa wale waliozoea mpaka alewe ndio aulizie bili ni majanga. Yaani mtu atakunywa mpaka chupa 40 baada ya hayo masaa 5 stimu ikipanda yuko hospital
 
Heeeee hii kwa wale waliozoea mpaka alewe ndio aulizie bili ni majanga. Yaani mtu atakunywa mpaka chupa 40 baada ya hayo masaa 5 stimu ikipanda yuko hospital

Milembe
 
Kiwanda kimoja nchini China kimezindua bia iitwayo "Fresh mind beer" ambayo unakunywa na kulewa masaa matano baadae!

Meneja wa Kiwanda hicho kilichopo Ghuanzou amesema bia hiyo ni matokeo ya utafiti uliodumu takriban mwaka mmoja na nusu ukihusisha pamoja na mtaalam mmoja toka kiwanda cha Bavaria nchini Ujerumani.

Meneja wa kiwanda hicho bwana Lee Jong-kim amesema kinywaji hicho kitaepusha mathara yatokamayo na ulevi kama ajali za barabarani na ugomvi sehem za bar.

Aliongeza pia bia hyo inaweza kutumika hata ofisin kwan ladha yake ni kama juice na mnywaji atahisi ulevi masaa matano badae.

Akifafanua zaidi amesema bia hiyo pamoja na mambo mengine inatengenezwa kwa kutumia ngano na zabibu.

Afadhali china.maana haya makampuni dar

Ayachelwi kumualika J.MAGUFULI KUFUNGUA
 
Walevi wote hawatauona ufalme wa Mungu. Pombe ni dhambi haijalishi unalewa kesho
 
Mh hyo pombe kwa dar unaweza kunya bar ikakuwakia kwenye foleni tu mana jam hizi
 
Tz haitapata soko, watu wengi wana stress hivyo wanataka kunywa na kusahau shida zao hapohapo
 
mhh....HIYO POMBE INAITWA "NINGOJE" mbaya sana unaweza ukanywa ukitegemea baada ya masaa matano utakuwa sehemu salama ghafla unapata dharula may be unakutana na watu wa aina fulani ...unajikuta maneno yanabalika ..kama hawajakufunga kamba sijui!! maana watajua mwez nchanga

Hapo kuna kufungwa kamba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom