Inafaa kwenye vkao vya haruc!
Umekunywa halafu umekaa gafla unalewa hiyo nzuri
Kiwanda kimoja nchini China kimezindua bia iitwayo "Fresh mind beer" ambayo unakunywa na kulewa masaa matano baadae!
Meneja wa Kiwanda hicho kilichopo Ghuanzou amesema bia hiyo ni matokeo ya utafiti uliodumu takriban mwaka mmoja na nusu ukihusisha pamoja na mtaalam mmoja toka kiwanda cha Bavaria nchini Ujerumani.
Meneja wa kiwanda hicho bwana Lee Jong-kim amesema kinywaji hicho kitaepusha mathara yatokamayo na ulevi kama ajali za barabarani na ugomvi sehem za bar.
Aliongeza pia bia hyo inaweza kutumika hata ofisin kwan ladha yake ni kama juice na mnywaji atahisi ulevi masaa matano badae.
Akifafanua zaidi amesema bia hiyo pamoja na mambo mengine inatengenezwa kwa kutumia ngano na zabibu.

mhh....HIYO POMBE INAITWA "NINGOJE" mbaya sana unaweza ukanywa ukitegemea baada ya masaa matano utakuwa sehemu salama ghafla unapata dharula may be unakutana na watu wa aina fulani ...unajikuta maneno yanabalika ..kama hawajakufunga kamba sijui!! maana watajua mwez nchanga