Pombe mpya yazinduliwa: Unalewa masaa matano baada ya kunywa

Pombe mpya yazinduliwa: Unalewa masaa matano baada ya kunywa

Kiwanda kimoja nchini China kimezindua bia iitwayo "Fresh mind beer" ambayo unakunywa na kulewa masaa matano baadae!

...bia hyo inaweza kutumika hata ofisin kwan ladha yake ni kama juice na mnywaji atahisi ulevi masaa matano badae.. Mungu wangu. Toba!! Napata huzuni sana.
 
Wailete mara moja.itatufaa kuinywa tukiwa kwenye foleni muda kurudi nyumbani
 
hongera bwana jee-ping. nakunywa saa 10 nikirudi home nikianza kulewa namwambia wife nasikia kuumwa, maswala ya kunusana wakati wa kurudi hayapo tena
 
Inawafaa sana wale " hakuna kunywa pombe na ole wako uje umelewa" unapga ulabu afu unatinga hme una2lia sitng rum unaanza kulewa mdogomdogo!
 
  • Thanks
Reactions: etb
mhh....HIYO POMBE INAITWA "NINGOJE" mbaya sana unaweza ukanywa ukitegemea baada ya masaa matano utakuwa sehemu salama ghafla unapata dharula may be unakutana na watu wa aina fulani ...unajikuta maneno yanabalika ..kama hawajakufunga kamba sijui!! maana watajua mwez nchanga
 
Haha hiyo bia sio nzuri hata kidogo. Sasa nitajuaje kipimo changu kama silewi sasa hivi? Naweza kunywa tano alafu baada ya masaa matano nikahadhirika au ikawa kama ndo nimekunywa castle lager moja vile. Kitu hapo kwa papo bana, ukiona hujatosheka unaongeza ukiona umetosheka unaacha.
 
Simple. Unaangalia content yake tu then unajua ushushe ngapi. Ila uko inapotoka ndo inanitia mashaka.
 
mmmmh kumbe kwa xi jinping ipite mbali maana Made in china ni synonym for low quality goods.........mtakunywa mlewe milele...tehtehteh natania tu
 
habari njema, unakunywa wakati wa lunch, unarudi mzigoni alafu majibu baadayeeee
 
Kama mchina analewa baada ya masaa matano mngoni mgoni masaa 9 mchaga masaa11. mhaya nusu saa. msambaa baada ya siku mbili. msukuma masaa 24. mzaramo nusu saa. mmasai siku mbili. mkurya wiki. mnyakyusa siku tatu. mzambia wiki.
 
lete ije böngo fasta unatpia mzee sanane unalewa unavoeoda kulala satat kimukeo haktajua wala nin
 
mhh....HIYO POMBE INAITWA "NINGOJE" mbaya sana unaweza ukanywa ukitegemea baada ya masaa matano utakuwa sehemu salama ghafla unapata dharula may be unakutana na watu wa aina fulani ...unajikuta maneno yanabalika ..kama hawajakufunga kamba sijui!! maana watajua mwez nchanga

kwel mkuu weng wataonekana ka wehu! Mnapga stor gafla anabdilika kumbe kashapga tungi kitambo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom