Pombe mpya yazinduliwa: Unalewa masaa matano baada ya kunywa

Pombe mpya yazinduliwa: Unalewa masaa matano baada ya kunywa

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,646
Reaction score
9,623
Kiwanda kimoja nchini China kimezindua bia iitwayo "Fresh Mind beer" ambayo unakunywa na kulewa masaa matano baadae!

Meneja wa Kiwanda hicho kilichopo Ghuanzou amesema bia hiyo ni matokeo ya utafiti uliodumu takriban mwaka mmoja na nusu ukihusisha pamoja na mtaalam mmoja toka kiwanda cha Bavaria nchini Ujerumani.

Meneja wa kiwanda hicho bwana Lee Jong-kim amesema kinywaji hicho kitaepusha mathara yatokamayo na ulevi kama ajali za barabarani na ugomvi sehem za starehe

Aliongeza pia bia hyo inaweza kutumika hata ofisin kwan ladha yake ni kama juice na mnywaji atahisi ulevi masaa matano badae.

Akifafanua zaidi amesema bia hiyo pamoja na mambo mengine inatengenezwa kwa kutumia ngano na zabibu.
 
Aahaaaaa magumashi ayo ya mzee magumashi pombe pombe tuu?
Hakuna chabadae walanini?
 
Sio pombe hiyo bali ni kivuruga akili,khaaa,kama sindano ya ganzi,haifai,TBS NA TFDA wazuie hiyo kitu,itakuwa majanga matupu.
 
Teh teh teh :becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::smiling::becky::becky:
 
Aaagh Hii kitu haifai kabsa! Kvp ninywe saa hii nilewe baadae? Stm za ulanzi/mnazi sizitaki mimi. Nataka instant reaction kama nyagi au safari kitu hakikopeshi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom