Pombe kali zimepanda bei, bia inakuwaje?

Kama kichwa cha habari kinavyosema!

Hivi wanyaji wa bia na pombe kari tunaibiwa au? Maana pombe kali zishapanda bei ila bia Zimebaki pale pale shida iko wapi? Au mi kwa sababu niko uku ruvuma?

TRa
Tbs
OSHA
Wateja
TUPAZE SAUTI
TANZANIA NI YETU
Huko zipo fursaza ziada,kwani ukitaka hata gongo unapata na zile nyingine laini laini,town hakuna hizo fursa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom