Daah ili povu la makinikia iliyokwisha chenjuliwa pole sanaKama kuna hasara niliowahi kupata ni kunywa pombe. Kwanza mnywa pombe ni mwizi mkuu tena jambazi. Unaiibia familia yako fedha kwa nguvu bila ridhaa yao.
Mnywa pombe hana staha yeyote ile ila watu wanakudharau tu na kukuacha na ujinga wako. Nilipata hasara ya kuzitoa hela zangu nyumbani na kuzipelekea kwa mtu na kununua mkojo tu
Pombe napata hapa catalunya ila light maana sipendi kuamka na hangover pombe huniliwaza maana sina mke kwa hiyo pombe ndio mke wangu nikishapiga bia mbili naenda lala
Mafanikio yako mkuu sio replica ya Mafanikio ya kila mtu.Nimejaribu kuuliza tuu kwa wadau kuhusu pombe kuwa imewahi kuwasaidiaje? Binafsi pombe haijawahi nitupa mkono. Imenipa marafiki wengi sana. Na hata mafanikio yangu nimeyapata kwenye pombe. Unaweza uliza mafanikio gani? Nimekuwa nikutumia kilevi kabla sijaanza kujisomea na hata kwenye mitihani ya O level, advance na chuo kikuu nilikuwa nikiingia nikiwa mtungi. Kwenye job interview yoyote ile sijawahi kushindwa maana niko na pombe. Kimaisha pia ninazidi kufanikiwa sababu ya pombe. Wewe je mwenzangu pombe imekusaidia katika nini?
Yap yapHahaha una uhakika hutumii mkuu
Ukitaka nikwambie ukweli sana, "niulize nikiwa na nimekunywa"Kiufupi thinking capacity yetu huwa kubwa sana tunapokuwa tuko pombe.
Swadakta.......[emoji481] [emoji481] [emoji481]Nilifikiri unaiponda ....maana nimekuja speed....nipo samaki samaki nagonga beer...uko wp uje tuendeleze kikao ...twenty drinks will be on me
Eti waliofanyiwa ayo ni wanawake au wanaume..!?
Wanaume kwa wavulana tena na ndevu zao na maa kee ndee yao..... halafu wakidharauliwa kwenye jamii wanakuja kuu kuwa wao ndo vichwa vya familia..... walaahi pombe bila kujipangia haijawahi kumuacha mwanaume salama.
Kwa wadada sina taarifa maana mie huwa nakuwa na interest na wanaume.
Labda nielezee hivi, kuna wanaume wanakunywa pombe kwa afya hawa sina shida nao tunaweza tukakaa meza moja. Huyu utakuta anakunywa chupa zake 3 au 4 za Heineken baasi, hapo hata umuongeleshe kikwao haongezi ng'oo hata kama kuna ofa au promotion.
Au kuna wanaume wale wa pombe kali anapiga toti 2 tuu baasi kama ni konyagi glass mbili na anachanganya na club soda haongezi wala hachanganyi na pombe ingine. Hawa hata dili la hela wanaweza kufanya ikaeleweka.
Sasa wale wanaume wengine khaaa... akiona pombe tuu mishipa yote ya mwili inamsimama na hailali hadi awe njwiii anakuwa kama anashindana na chemba za choo kuzijaza yeye kwa kwenda haja ndogo. Hapo ndo wengi wao huishia kuu fii na wenye uchu wa kutii.
Anyways kila mtu yuko huru kuwa mlevi atakavyo na ajisikiavyo ila tuu starehe ya ulevi wako isiwe kero kwa jirani na wanaokuzunguka.
Ulevi wa Kasie ni kucheza mziki, kuimba na kucheka kama sio kutabasamu.
WanaumeMkuu akikupa jibu fanya kuntag
Aseeh nimekuelewa ndo maana tunaambiwa tunywe kistaraabu,..