Pombe imewahi kukusaidia nini katika maisha yako?

Pombe imewahi kukusaidia nini katika maisha yako?

Chanzo cha umaskini kwani ukiendekeza pombe huwezi kufanya jambo la maana.
 
HUYU NDIE MLEVI!!!!!:
1,Akipata kazi ANALEWA
2,Akifukuzwa kazi ANALEWA
3,Akioa ANALEWA
4,Akiachika ANALEWA,5,Akifurahi ANALEWA,
6,Akichukia ANALEWA
7,Akipandishwa cheo ANALEWA,
8,Akishushwa ANALEWA
9,Akijenga nyumba ANALEWA
10,Akinunua gar ANALEWA
11,Akipata ajali ANALEWA,
12,Akimpata mtoto ANALEWA
13,Akifiwa ANALEWA
14,Akisifiwa ANALEWA
15,Akikosolewa ANALEWA
16,Akishiba ANALEWA
17,Akiwa na njaa ANALEWA
18,Timu yake ikishinda ANALEWA
19,Timu yake ikifungwa ANALEWA
LABDA AFE TUU NDIO HATALEWA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mlevi nomaaaaaa [emoji482][emoji485][emoji481]‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂
 
Nimejaribu kuuliza tuu kwa wadau kuhusu pombe kuwa imewahi kuwasaidiaje? Binafsi pombe haijawahi nitupa mkono. Imenipa marafiki wengi sana. Na hata mafanikio yangu nimeyapata kwenye pombe. Unaweza uliza mafanikio gani? Nimekuwa nikutumia kilevi kabla sijaanza kujisomea na hata kwenye mitihani ya O level, advance na chuo kikuu nilikuwa nikiingia nikiwa mtungi. Kwenye job interview yoyote ile sijawahi kushindwa maana niko na pombe. Kimaisha pia ninazidi kufanikiwa sababu ya pombe. Wewe je mwenzangu pombe imekusaidia katika nini?
Kulewa aisee ni amazingly experience babuuu
 
Pombe safi sana niligegeda mtoto bomba sana bila kutarajia.. Alinikuta maeneo napata nyagi yangu nikiwa alone nimemiliki meza basi mtoto akaja na pozi then akauliza '' naweza kujoin meza yako brother au upo na kampani? " nikamjibu karibu.... After story mbili tatu kidogo na savanna zake 3 nikafanya kama namjaribu '' vipi si bora unywe wine angalau maana zina same taste" akasema ok haina shida.... Akaanza jidunga wine.....
To be continued..... Ila thanks pombe!!!!!
 
Pombe ni sawa na mshikaji tu....itakuongezea marafiki wasomi, wenye hela, wanaojitambua, na kukupa mawazo mema ya kujali family yako. Ila ukiendekeza ndiyo inakufanya kuwa chizi, mara uokotwe shimoni haujitambui, au kujinyea na kutukana watu kwa kujiona wewe ni Tundu Lissu (kuwa unajuwa Zaidi), kuchapa wenzako (both wanaume na wanawake) dry, na kutamani kufanya mapenzi na wanyama.
 
Mkwe alikuja kuposa Kama kawaida Kwa mchaga pombe hazikati mwisho wasiku mkwe kalewa mineno ya ajabu kawa baba mwenye nyumba mama na baba wote mitusi Ucku kakojoa kitandani 12 asubuhi katimuliwa sister alilia sanaa
 
Haijawah kuniangusha, nmejipatia marafiki wengi na wenye faida kwenye mji wa watu ambao ckuwahi kuishi kabla zaid ya nlipizaliwa na kukulia
 
Sisi noa. Eti jamaa kanikuta kaunta nausubiri mwezi hapa anaagiza kibabe Nipe Dawa ya Mbu!!!
 
well....

pombe ina faida zake kama kukuweka pamoja wa ndg jamaa na marafiki pia unaweza kutengeneza deals tofauti

pia inaongeza confidence kama umeinywa responsibly

faida nyingine naona ni refreshment tu

HASARA ZAKE
kwa mwanamke unaweza liwa papuchi bila idhini yako pia unaweza achia pia ule mtandao mwingine 0713

hasara nyingine pombe inaweza kukufilisi usipokua makini

hasara nyingine pombe ikikuzoea unakua addicted... unaweza mkuta mtu ambae hajastua anatetemeka kabisa

pia pombe inaweza kukuchafulia image yako kwa jamii in a second! kiufupi hasara ni nyingi kuliko faida

Tuje kwa upande wangu....mm nlianza kuonja kitambo enzi za secondary...!! pombe kwangu imenipa deals kibao tu, pia chuo bila kustua kidogo ile kadamnasi ni ngumu kupresent pia nshajilia mtoto flani kiulaini bila hiyana tena aling'ang'ania mwenyewe a!!! kwa kifupi inatakiwa wewe uikontroo na sio pombe ikukontroo!

drink responsibly
Marufuku kutumia kwa walio chini ya miaka 18
 
Back
Top Bottom