Pombe imewahi kukusaidia nini katika maisha yako?

ilinifanya nikapasua paper la form four ...niliingia kwenye paper niko tungii kuanzia theory mpaka practical...ila leo hii siwezi tena kunywa pombe..hongereni mnaoendelea kunywa.
 
e66ff9f253544638a05b5953bddd50ff.jpg

sent from kuzimu
 
Mithali 31:6-7 "Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. Anywe akasahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.
Faida nyingine za pombe ni pamoja na;
Kuleta ujasiri uliotukuka
Kuongeza pato la taifa
Husaidia kuitambua tabia halisi ya mtu
Ni kichocheo kizuri cha kutoa zawadi na misaada
Husaidia kuongeza kipato kwa baadhi ya wanawake (wanaume wao wakija wamelewa wanawa search asubuhi anasingizia ulipoteza)
Huleta faida kwa wauza supu.
Wakati mwingine hutumika kama viangra.nk
Faida ziko nyingi sana nikitulia ntaongeza.
Nb; Hapa mtaani nilipo kuna wazee zaidi ya 10 wenye kuanzia miaka 90 wote ni wanywaji wazuri tu mpaka saivi, asie mnywaji yuko mmoja tu.
 
Zaburi 31:6-7 "Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. Anywe akasahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.

Nimeipenda hii namimi siachi tungi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia huongeza hamasa na ham kwenye tendo la ndoa, humfanya mtu awe jasiri, atumie muda mwng kufika kieleleni, pia husisimua homon za zinazosababsha tendo la ndoa, na pia mtoto anaezaliwa huku akipatakana wakat mmoja wao akiwa amekunywa pombe lazima akimbize darasani, fuatilia ma T.O wengi na waliosoma sayans yale masomo magum unakuta n watumiaj wazuri wa hii kitu, nawapongeza watengenezaji wa serangeti na konyagi na balimi... nasi tunawaahidi hatutawaangusha, tuko pamoja
 
Correction ni Mithali 31, 6-7
 
mlevi anaishi muda mrefu zaidi ya asiyekunywa.
Tupe reference mkuu,kwa kuwa no research no right to speak.Sisi tunajua kwamba unywaji wa pombe ni hatari kwa mhusika binafsi,familia yake na jamii inayomzunguuka.Google hapa mkuu ujionee ubaya wa pombe, "Alkoholism-Symptoms,signs and Effects of Alkohol Abuse and ..."
 
Unywaji wa pombe si hatari, bali unywaji pombe kupita KIASI ni hatari!
 
Hata kidogo ni mbaya!Usidanganyike,C2H5OH is a poison.

But why don't you opt for more healthier drinks like natural juices.Mimi huwa nashangaa sana.There must be an evil force behind alkohol drinking,kwa kuwa ni kitu ambacho hakina faida kabisa.Kwa nini mnaking'ania, is very hard to tell.
 
Pia huongeza hamasa na ham kwenye tendo la ndoa, humfanya mtu awe jasiri, atumie muda mwng kufika kieleleni, pia husisimua homon za zinazosababsha tendo la ndoa, na pia mtoto anaezaliwa huku akipatakana wakat mmoja wao akiwa amekunywa pombe lazima akimbize darasani, fuatilia ma T.O wengi na waliosoma sayans yale masomo magum unakuta n watumiaj wazuri wa hii kitu, nawapongeza watengenezaji wa serangeti na konyagi na balimi... nasi tunawaahidi hatutawaangusha, tuko pamoja
Hahahaha kwa kweli hatutowaangusha.
 
Back
Top Bottom