Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,992
- 5,662
Wanywaji hili mnalifahamu vizuri kuwa pombe hainaga majina mabaya, majina yake ni mazuri mfano; Common, Washington, Kiboko, Mamba.
Sasa na wewe kama unafahamu majina mazuri yanayosumbua huko baa share hapa tuzidi kudumisha utamaduni wa Mwaafrika ndugu zangu.
Sasa na wewe kama unafahamu majina mazuri yanayosumbua huko baa share hapa tuzidi kudumisha utamaduni wa Mwaafrika ndugu zangu.
kinywaji changu pendwa naanza hiki na maji madogo ya baridii naanza vuta Castle lite kama 15 natembea sasa