Poll: Kitafunio kipi bomba kwa chai?

Chapati
kiporo
vitumbua
andazi
kisheti
kababu
ugali............n.k

Huniambii lolote kuhusu Kiporo,
hasa kiwe ni Ubwabwa na Kisamvu kilichopikwa kwa Nazi.
Mama yangu weeee!!!!
Unakula mpaka unajisikia aibu.
 
chapati ndio mpango mzima, pale kati unaweka kitu cha sausage au yai au nyama iliyosagwa...pembeni unakua na milk shake ya banana au chai maziwa ya hiliki.
 
Huniambii lolote kuhusu Kiporo,
hasa kiwe ni Ubwabwa na Kisamvu kilichopikwa kwa Nazi.
Mama yangu weeee!!!!
Unakula mpaka unajisikia aibu.

kikiwa na kichwa cha samaki wa kiporo ndo aibu zaidi. Ukikutwa unaanza kujishaua 'mie silagi kiporo ujue. Yaani leo tu sijui kwa nini'
hahaha, raha kweli.
 
Back
Top Bottom