Poll: Kitafunio kipi bomba kwa chai?

kiporo kiwe na kisamvu kilicholala na chenyewe!dah af ukipige usawa wa saa tano hivi!ah huamki hapo ulipokaa!tena ukitaka ukifaiid ukae chini kabisa ,manake kiporo utakulaje mezani eti na table mat juu?kasema nani!kiporo raha yake ushushie na maji sio juice delamonte!

sipati picha nakukuta SW umekaa chini unafakamia kiporo tena kwenye chungu kina masizi balaah!
 
sipati picha nakukuta SW umekaa chini unafakamia kiporo tena kwenye chungu kina masizi balaah!

wacha kabisa hakitakuwa chungu chenye masizi ila dah ntakuwa nimepiga kanga usawa wa kifua hivi na nyingine kiunoni af nimekaa kwenye mkeka chini ya mwa40,yani nikitoka hapo lazima nipige usingizi.kiporo bana ni kitamua kha!no wonder hiki kitambi hakipungui ahahahhahahhahahhahhahhahah
 
aaah muhogo wa kukaanga na samaki - vipikwe vyovyote vile
ila upate muhogo wa nazi na samaki wa kukaanga ambaye kawa marinated ............weeee
au vyapati, nyama na chai ya tangawizi.......weeeeeeeeeeee

lakini sana sana uji wa ulezi...........weeeeeeeeeeeeeeee
 
wacha kabisa hakitakuwa chungu chenye masizi ila dah ntakuwa nimepiga kanga usawa wa kifua hivi na nyingine kiunoni af nimekaa kwenye mkeka chini ya mwa40,yani nikitoka hapo lazima nipige usingizi.kiporo bana ni kitamua kha!no wonder hiki kitambi hakipungui ahahahhahahhahahhahhahhahah

heheheeee
 
Hvi ulipewa :ban: mbona hujaonekana mda mrefu?
Me si Mzaramo lakini napenda Kiporo kuliko ninavyopenda wanaume.
Kuna ile aibu yaani unakula halafu hushibi.
mara nyingi huwa naingia humu asubuhi halafu ninapoteza sana muda jamii photo,jumapili huwa sitembelai jamvi kabisa msalimie madam b.halafu ni kweli unapenda kiporo kuliko kipongo.
 
chai na mkate uliopakwa peanut butter,:dance::dance:

3517127-654813-picture-of-two-slices-of-bread-with-peanut-butter-and-a-jar-of-peanut-butter.jpg
 
Back
Top Bottom