Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,835
- 37,445
Hapo kwenye kisamvu tu ndio napenda tena nina sikunying sijakipata!
Unaishi Wapi ambako hakuna kisamvu wewe?
Nunua hata cha kopo.
Hapo kwenye kisamvu tu ndio napenda tena nina sikunying sijakipata!
kikiwa na kichwa cha samaki wa kiporo ndo aibu zaidi. Ukikutwa unaanza kujishaua 'mie silagi kiporo ujue. Yaani leo tu sijui kwa nini'
hahaha, raha kweli.
uji na ugalia au chai na miwa
ukishakula kisamvu inabidi ukapge tena mswaki, hakina adabu kile
chapati ndio mpango mzima, pale kati unaweka kitu cha sausage au yai au nyama iliyosagwa...pembeni unakua na milk shake ya banana au chai maziwa ya hiliki.
Chapati
kiporo
vitumbua
andazi
kisheti
kababu
ugali............n.k
kitafunio ni meno.
Kitafunwa ugali
...ila viporo vinatia aibu mbele za watu,
unabembea tu,jicho nyanya.
si unajua wanasema njaa mwana malevya...we check check mida mida ya asubuhi jinsi raia wanavyobembea kwenye madaladala sio kwamba wote hawakumaliza usingizi nyumbani...
View attachment 66134 nikishapata hii ndo naweza fanya kazi bara bara hadi saa kumi na moja bila kusinzia. Hii ndo braeakfast yangu kila jumatatu
...ila viporo vinatia aibu mbele za watu,
unabembea tu,jicho nyanya.
Chapati
kiporo
vitumbua
andazi
kisheti
kababu
ugali............n.k
chapati
kiporo
vitumbua
andazi
kisheti
kababu
ugali............n.k
Acha utani wewe hii siyo breakfast ya kidume anayetegemea kupiga kazi nzito..
Labda kama unafanya kazi ya kulamba stamp au kupiga signature kwenye makaratasi.