Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 4,953
- 4,326
Bado hujajibu hoja ya nyie kususa kila jambo. Hata la kuomba dhamana mnapokamatwa na polisi nalo mlishasusa. Maandamano ya barabarani kama ilivyokuwa kawaida yenu huko nyuma, mlishasusa singu nyingi. Hata haya maandamano yenu ya kwenye mitandao ya kijami kama Jf yanakaribia mwisho, wengi wenu wameshayasusa. Mmebaki watu msiozidi 10.nilishakufahamu kitambo sana , hilo ulijue , hatuingii mitandaoni kibwege