Polisi yavamia kikao cha ndani cha CHADEMA jimbo la Segerea, Patrick Asenga na wenzake wakamatwa

Segerea, Mwanza, Mbeya, KKKT, Iringa, Usukumani. Why not Moshi or KIA or Kibong'oto or Himo or Kibosho? Kwa Mbowe tunatangaziwa msiba wa kaka yake tusiende kuwaombea tujilinde na Covid, lakini Mwanza na Lindi na Mwanjela twende tu wache wafe. CHADEMA kweli wanajielewa wanajithamini, kwao wanataka amani.

..makongamano yangefanyika moshi mngesema chadema wanataka katiba kwa ajili ya wachaga.

..siku ambayo kongamano la chadema lilikuwa lifanyike kulikuwa na mechi ya ligi kuu uwanja wa kirumba.

..sote tunajua mechi ya mpira ina mkusanyiko mkubwa usio na nidhamu kuliko kongamano la siasa.

..kwanini makongamano ya chadema yazuiwe kwa kisingizio cha corona, huku mikutano ya ccm, mbio za mwenge, mechi za mpira, na mihadhara ya kidini, imeruhusiwa?

..Hoja kwamba chadema wanataka kuambukiza watu corona haina mashiko.
 
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam, kwa sasa Mwendo ni ule ule wa kuhakikisha Haki za kisiasa za ccm kujibu hoja za wapinzani zinaporwa na Jeshi la polisi , ambalo sasa ni dhahiri limechukua sehemu ya ccm kwenye siasa za Tanzania , hasa baada ya ccm yenyewe kuishiwa hoja za utetezi Kabisa kabisa .

View attachment 1878915

Updates
=======

View attachment 1878991
Hivi unalipwa kiasi gani baada ya kupika uongo hizi unazoleta ikiwemo hii?
 
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam, kwa sasa Mwendo ni ule ule wa kuhakikisha Haki za kisiasa za ccm kujibu hoja za wapinzani zinaporwa na Jeshi la polisi , ambalo sasa ni dhahiri limechukua sehemu ya ccm kwenye siasa za Tanzania , hasa baada ya ccm yenyewe kuishiwa hoja za utetezi Kabisa kabisa .

View attachment 1878915

Updates
=======

View attachment 1878991
Mama SSH Rais wa JMT, ni lazima ajiongeze na kusimamia haki. Akubali kurithi marafiki wa kweli na wala si maadui wa mwendazake. Moto wa CDM ni kama volkano tuli siku ikilipuka na kugeuka kuwa hai sidhani kama kuna mtu nchini atalituliza zege lake.

Hivi kweli Mama anathubutu kweli kutumia udhalimu wa JPM kuthibiti wapinzani! Nachelea kusema naona tena "one term president" ikija, awamu ya 5 & 6 zikitokomea kwa pamoja ili kuipisha awamu kusudiwa ya 7 yenye baraka zote za CCM asilia.

Ukweli mchungu ni kwamba, si JPM wala SSH ni mwenye kukubalika ama ushawishi kwenye mfumo wa serikali ama mbele za makada wahafidhina ndani ya chama. Ni January Makamba, Emmanuel Nchimbi ama Hussein Mwinyi ndiyo watoto wapendwa.

RIP kwa aliyekuwa waziri wa ulinzi, kwa kuwa hukuijua vita ambayo ilikuwa mbele yake. Prof Mkenda kaa chonjo kwa kuwa wanamtandao ndani ya chama wapi hai tena. Yaleyale yalio jitokeza kwa Salim Ahmed Salim na marehemu Mzee Kiko wa Handeni yanaenda kutokea tena ili kumleta "the chosen one"
 
Segerea, Mwanza, Mbeya, KKKT, Iringa, Usukumani. Why not Moshi or KIA or Kibong'oto or Himo or Kibosho? Kwa Mbowe tunatangaziwa msiba wa kaka yake tusiende kuwaombea tujilinde na Covid, lakini Mwanza na Lindi na Mwanjela twende tu wache wafe. CHADEMA kweli wanajielewa wanajithamini, kwao wanataka amani.
Umeandika kijinga sana !
 
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam, kwa sasa Mwendo ni ule ule wa kuhakikisha Haki za kisiasa za ccm kujibu hoja za wapinzani zinaporwa na Jeshi la polisi , ambalo sasa ni dhahiri limechukua sehemu ya ccm kwenye siasa za Tanzania , hasa baada ya ccm yenyewe kuishiwa hoja za utetezi Kabisa kabisa .

View attachment 1878915

Updates
=======

View attachment 1878991
Acha muendelee kunyooshwa kwa chokochoko zenu zisizo na mantiki. Wapi hapa duniani mabadiliko ya katiba ya nchi inadaiwagwa kwa njia mnayoifanya? Kwa akili yenu mnadhani katina ya nchi itapitishwa kwa kura za wanachadema? Mnafikiri kuna watu wanaowaelewa mnachokidai ukiacha hao wanachadema ndaki ndaki? You must stop this nosense. Mgekuwa mnadai marekebisho ya sheria ya tume ya uchaguzi mngalieleweka lakini mlipaswa kueleza marekebisho hayo mnataka yaweje na siyo kupiga kelele tu. Marekebisho hayo yanahitaji mswaada tu kupelekwa bungeni na kuutetea kwa hoja nzito. Na bunge la katiba la 2014 lilikuwa limekubali kuurekebisha lakini nyie mkasusa. Nyie ni mahodari wa kususa, kila mtu analijua hilo. Matokeo yake kususa kwenu huwa inawagharimu lakini hamjifunzi. Mlisusa bunge la katiba mpya ikawa cost. Mlisusa uchaguzi wa serikali za mitaa ikawa cost. Mmesusa matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2020 na imewa cost. Mmesusa uchaguzi wa wabunge wa viti maalum na imewa cost. Mnasusia chaguzi ndogo za wabunge na madiwani zinapojitokeza na inawa cost. Mlishasema mtasusia uchaguzi mkuu wa 2025 na itawa cost. Mnadai mchakato wa katiba mpya ya Waryoba. Hata mchakato huo ukakubalika kufanyika kila mwenye akili.anajua mtasusa kabla ya kukamilika mchakato huo kwani wana ccm ambao ndiyo watakuwa wengi kwenye mchakato huo bila shaka, hawatayakubali mengi yaliyomo kwenye hiyo katiba ya Waryoba kama walivyoyakataa kwenye bunge lile la katiba la 2014. Mngalikuwa na akili mngalisubiri hadi pale mtakapochukua dola ndipo mngalituletea hiyo katiba mpya mnayopenda. Mnachokifanya kwa sasa kila mtu angalishangaa kama Mama angaliacha kuwanyoorosha.
 
Umasikini wa hela ni sawa na kilema , unaandika tu ili ujikimu
 
Jibu hoja wewe mwanamke! Wewe hunijui na mimi sikujui. Nani kakuambia mimi ni masikini wa hela. Kwa taarifa yako mimi ni multi billionaire na nina uwezo wa kukuajiri na kukulipa zaidi ya maradufu ya kile anachokulipa huyo anayetuhumiwa kuwa ni gaidi.
 
Baada ya Sukuma gang na Mataga mliotaka Bimkubwa awataabishe sasa ni zamu yenu kuonjeshwa joto la jiwe.
Nakuhakikishia Bimkubwa hana huo uwezo wa kuamuru haya.

Amini nchi ipo mikononi mwa #Majaliwa Bimkubwa yupo yupo tu hata haelewi Chochote.
 
Jibu hoja wewe mwanamke! Wewe hunijui na mimi sikujui. Nani kakuambia mimi ni masikini wa hela. Kwa taarifa yako mimi ni multi billionaire na nina uwezo wa kukuajiri na kukulipa zaidi ya maradufu ya kile anachokulipa huyo anayetuhumiwa kuwa ni gaidi.
nilishakufahamu kitambo sana , hilo ulijue , hatuingii mitandaoni kibwege
 
Multbillionaire ndio unaandika huu utumbo?! Shenzy
 
Polisi kazi yao ni kufuata amri, wasilaumiwe. Uongozi uliopo madarakani ndo uangalie jinsi ya kutengeneza fair play tu
Hao polisi nao waache kumharibia Rais.... mbona hawajaenda kuvamia kikao cha kamati kuu ya CCM, tena kilichofanyika Ikulu?? Jaribuni hata kidogo kuonyesha basi fairness.....
 
nilishakufahamu kitambo sana , hilo ulijue , hatuingii mitandaoni kibwege
Aisee, ndiyo maana, Mkuu siku zote, wanakamatwa wengine, na kupigwa virungu wewe unaponyoka bila hata kupoteza unywele!! Au unawachongea wenzio !? Ha ha ha haa ( jokes do not take it serously)
 
Back
Top Bottom