Polisi yamwachia Dk. Shika baada ya kujidhamini mwenyewe

Polisi yamwachia Dk. Shika baada ya kujidhamini mwenyewe

9e851d1c29a373433dc77b5d7138db63.jpg
 
Hivi Ule mnada haujarudiwa tu...
Cku ile yule mama wa YONO alisema watarudia mnada mchana ule ule sababu Wateja bado hawajasambaa....

Hivi bado hazijanunuliwa zile nyumba hadi Leo???
 
Mara imetokea Paap Dr. Shika kapewa bonge shavu, mtaona jinsi ndugu zake wanavyoibuka na kujifanya kumjali. Kuna watu watamfungashia Senene na sato na kumletea toka huko kanda ya ziwa.

Watanzania wanafiki sana. Ndiyo walijitokeza kwa wingi kumzika yule mbakaji pale kinondoni makaburini huku wakiongozwa na rais na baraza lake la mawaziri, na serikali mzima huku kale kabint kalikokua kakibakwa kakiwa ndani nyuma ya nondo za mahabusu
Hako kabinti Kanamuelewa sana Dr. Hako ndo kalirekodiwa sana na waandishi wakati Dr Kakamatwa.
Naona kanaishi naye kama ndugu yake kabisaa.
Na hata hapo kamekuja kumfungulia Gaate kamefurahi sana. Hakika leo katamuandalia mlo wa nguvu sana aisee.
"Kakiendelea kumpatia huduma tofauti tofauti, itapendeza zaidi"
 
Nimpongeze Mambosasa kwa kuona busara ya kumpa zamana Dr shika, Kwa sababu jambo lenyewe limetupa mafunzo, na ili somo limefurahiwa na walio wengi, pamoja na kwamba aliubaka mnada ila ajazinajisi hizo nyumba, na wala ajaharibu thamani yake, na wakiacha kumshitaki itapendeza zaidi.
 
Nadhan choka mbaya bin mlala hoi ameshaeleweka. Pesa zake zipo hapo ndo waliposhindana
 
Back
Top Bottom