Kanavu
Senior Member
- Aug 10, 2017
- 124
- 90
Hata Lulu alikua anafurahia kubakwaWhich means wanafurahia kubakwa,hivi unajua maana ya neno kubakwa?
Hata Lulu alikua anafurahia kubakwaWhich means wanafurahia kubakwa,hivi unajua maana ya neno kubakwa?
So what??Hata Lulu alikua anafurahia kubakwa
Umeanza vizuri ila haya ya pili umeharibu mzeeMara imetokea Paap Dr. Shika kapewa bonge la shavu, mtaona jinsi ndugu zake wanavyoibuka na kujifanya kumjali. Kuna watu watamfungashia Senene na sato na kumletea toka huko kanda ya ziwa.
Watanzania wanafiki sana. Ndiyo walijitokeza kwa wingi kumzika yule mbakaji pale kinondoni makaburini huku wakiongozwa na rais na baraza lake la mawaziri, na serikali nzima huku kale kabint kalikokua kakibakwa kakiwa ndani nyuma ya nondo za mahabusu
Huyu mzee anaweza akapata mke hivi hivi
Kama ndgu watajitokeza itapendeza zaidiUnaweza ukacheka sana lakini kwa upande mwingine inasikitisha sana, inakuwaje mtu anaishi bila ndugu wala jamaa, atakuwa na maisha magumu sana huyu jamaa... So sad
Huyu mzee anaweza akapata mke hivi hivi
Kamanda Mambosasa amesema ameagiza Dk Shika ajidhamini na awe anaripoti polisi
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limefikia uamuzi wa kumtaka Dk Louis Shika ‘bilionea wa nyumba za Lugumi’ ajidhamini yeye mwenyewe baada ya kukosa mtu yeyote aliyejitokeza kwenda kutaka kumwekea dhamana.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Novemba 14, Kamanda wa kanda hiyo, Lazaro Mambosasa amesema “uchunguzi wa tuhuma dhidi yake unaendelea lakini mpaka sasa hakuna mtu yeyote aliyefika kutaka kumwekea dhamana, yaani anaishi kama mtu wa nyikani.”
Mambosasa ameongeza, “nimeagiza watendaji wangu wamwachie kwa dhamana yaani ajidhamini yeye mwenyewe na awe anakuja kuripoti,” amesema Mambosasa
Kamanda huyo ametoa kauli hiyo mara baada ya Mwananchi kumtafuta kutaka kujua hatima ya Dk Shika ambaye ameshikiliwa tangu Novemba 9 akituhumiwa kuvuruga mnada wa nyumba za kifahari za mfanyabishara Said Lugumi
Dk Shika tangu siku hiyo amekuwa gumzo sehemu mbalimbali kutokana na kile alichokifanya siku ya mnada alipokuwa akipandisha bei dhidi ya washindani wake na moja ya kauli zake zinaendelea kutumika hadi sasa ni ‘Mia 900 itapendeza.’
Chanzo: Mwananchi
=====
UPDATES: Dr Shika ameachiwa baada ya kujidhamini mwenyewe
Tabata hiyo mama....amepanga nyumba nzimaMbona kaingia kwenye nyumba nzuri tu,,ni kwa nani hapo
eti bado--still...hahaha..si uandike kiswazi tunimempenda bado still bado yuko serous!!
Nyumba nzima au chumba na anadaiwa kodi ya miezi 6 kiufupi kasemehewa na mwenye nyumba aishi tu hvyo hvyoTabata hiyo mama....amepanga nyumba nzima
😀😀 maswala yakuchanganya lughaeti bado--still...hahaha..si uandike kiswazi tu
Fatilia clip za ayo.... Yule Dada anasema ule no uzushi adaiwi kodiNyumba nzima au chumba na anadaiwa kodi ya miezi 6 kiufupi kasemehewa na mwenye nyumba aishi tu hvyo hvyo