ahahhaaaaaa naongeza 50weka picha akitoka nihakikishe ili nimtumie 900 itapendeza
Huyo nimemuelezea hapo ndiyo anaitwa hivyo? Ni mbakaji kamwe hawezi kuweka mguu niwekapoMkuu Kanumba alikugongea nini?
Maana umekomaa naye sana nadhani hata kwenye Matangazo madogo utaenda kuweka huu ujumbe!hata babu Seya mbakaji lakini haujakomaa naye hivi nadhani ni personal hii issueHuyo nimemuelezea hapo ndiyo anaitwa hivyo? Ni mbakaji kamwe hawezi kuweka mguu niwekapo
Ni tabia yake ya hovyo dhidi ya kabont kadogo imenifanya nimemjua huyo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Naweka 800 [emoji1] [emoji3]
Je aliyekuwa anabakwa alishawahi kutoa taarifa polisi au kwa majirani?Usimung'unye maneno, Kanumba alikuwa ni mbakaji tu niliamini hivyo na ndio msimamo wangu mpaka kesho.
Daahh..., watu wengi walikuwa wanamkodolea macho, na mimi nikabaki nacheka tuu hadi picha nimesahauPicha....?